PM aache kutafuta 'Cheap Popularity' kwa ishu ndogo tu ya kuungua nyaraka huko Rukwa

PM aache kutafuta 'Cheap Popularity' kwa ishu ndogo tu ya kuungua nyaraka huko Rukwa

We jamaa mwache afanye KAZI!

Unafikiri na yeye akiwa mpole kama NAMBA Moja nchi italiwa na mchwa hii!

Naona Baada ya kushindwa kumuingiza mtu wenu kwenye ukatelephone mmeanza kushambulia Mamlaka yake!

Tufanye kazi tujenge nchi,go go katelephone go!
Hii nchi huwezi kuijenga. Tangu 1961 serikali ya CCM inahangaika na maji, umeme wa mgao, matundu ya choo shuleni, madawati, elimu na afya ambapo vitu hivi vingekuwa vimeisha kabisa 100%. Wewe utaweza kujenga nchi?
 
Huyo waziri mkuu mpaka leo ana ripoti ya mtu aliyekutwa kajiunganishia bomba la mafuta hapa mjini, hadi leo yuko kimya licha ya kuahidi kuweka ripoti hiyo hadharani. Anasaka kiki za bei rahisi kwa vidagaa huku hana ubavu na mambo makubwa kama issue ya mgao wa umeme. Aache siasa za kiki za kitoto. Hayo mambo madogo kuna Dc, RC, Takukuru, diwani, mbunge nk.
NDO NACHOMAANISHA.

VILAZA WA HUMU WANAKURUPUKA TU
 
Hii nchi huwezi kuijenga. Tangu 1961 serikali ya CCM inahangaika na maji, umeme wa mgao, matundu ya choo shuleni, madawati, elimu na afya ambapo vitu hivi vingekuwa vimeisha kabisa 100%. Wewe utaweza kujenga nchi?
Fact ..

Adui wa hii nchi siyo yule Mhasibu.. Maadui wakubwa wanajulikana...
 
Hata ni kweli
Bora huyo anayetafuta kwa vitendo kwa wale wanaojipe dekeza na kusifu kwenye hamna
 
PM siyo chombo cha kiuchunguzi, hakupaswa kufanya aliyoyafanya kuikuza ishu yenyewe ndogo sana.

Ameongea asiyopaswa kuyaongea na kujifanya ana huruma sana na watanzania, akaenda mbali na kumuonea huruma Mama eti 'anahangaika kutafuta fedha kwa ajili yetu'.

Hii ni kutafuta umaarufu wa kisiasa:

- Ameomba TAKUKURU wachunguze ilhali na yeye aneshatoa hukumu yake kuwa wamechoma nyaraka makusudi, tutegemee nini ktk uchunguzi wa PCCB.

- PM amesharudNganya mara kadhaa na la mwisho ni alipokurupuka huko Kagera kwa ajili ya. kujijenga kisiasa na kumpa sifa hewa kijana majaliwa. Yote kuficha mapungufu ya uokoaji.

- Susla labkutaka tumuonee huruma. Mama kisa anahangaika na kazi ngumu ya kutafuta fedha, mbona wako bize kupambana kujitejesha madarakani 2025?

- Iko wapi ripoti ya Soko la Kariakoo?

Wafuate taratibu za ajira, mamlaka za kiuchunguzi zifanye kazi na kuja na majibu sahihi, hatutaki majibu yao ya kisiasa kujjijenga kwa ajenda ya kutuonea huruma sisi. Kuna huruma gani wakat kodi ya Mafuta tu wameshindwa kutupunguzia.

NOBODY IS PERFECT HATA YEYE PM.
Pole mkuu..inaelekea utakumbwa na fagio hilo...wacha PM atekeleze majukumu yake..Acha kulialia.
 
Hilo yanipasa kukuuliza,maana uelewa wako wa mambo ya serikali una mushkeli
Atoe ripoti ya wizi wa mabomba ya mafuta.

Serikali inahitaji Transparecy mzee. Siyo kufanya kiki nyingi halafu ripoti zijija zinakaliwa ofisini.

Haijathibitishwa mhasibu kuchoma karatasi hizo. Na neno la PM siyo hukumu ya mahakama.
 
Ushahamia kwenye Bomba la mafuta Tena!!?
 
Back
Top Bottom