PM aache kutafuta 'Cheap Popularity' kwa ishu ndogo tu ya kuungua nyaraka huko Rukwa

PM aache kutafuta 'Cheap Popularity' kwa ishu ndogo tu ya kuungua nyaraka huko Rukwa

We jamaa mwache afanye KAZI!

Unafikiri na yeye akiwa mpole kama NAMBA Moja nchi italiwa na mchwa hii!

Naona Baada ya kushindwa kumuingiza mtu wenu kwenye ukatelephone mmeanza kushambulia Mamlaka yake!

Tufanye kazi tujenge nchi,go go katelephone go!
Afanye kazi asitafute Popularity, anamuhukumu mtu halafu anaomba uchunguzi..

uchunguzi ukija wanaficha..

Bora waufyate wale keki ya taifa
 
ACHA UJINGA NYARAKA ZILIZOUNGUA ZINAHUSISHA MAMILIONI YA FEDHA ZA SERIKALI
 
PM siyo chombo cha kiuchunguzi, hakupaswa kufanya aliyoyafanya kuikuza ishu yenyewe ndogo sana.

Ameongea asiyopaswa kuyaongea na kujifanya ana huruma sana na watanzania, akaenda mbali na kumuonea huruma Mama eti 'anahangaika kutafuta fedha kwa ajili yetu'.
Pesa zinatafutwaje ?

Kama vipi tumsaidie tumpe kila mtanzania Visa na Ticket ili azunguke kutafuta pesa..., nadhani hakuna atakayelalamika.....

Au kama vipi atafute kama sisi aje kitaa tuchome nae mahindi na ku-brush viatu huku tukisubiri mvua tukalime majaruba...
 
Ameongea asiyopaswa kuyaongea na kujifanya ana huruma sana na watanzania, akaenda mbali na kumuonea huruma Mama eti 'anahangaika kutafuta fedha kwa ajili yetu'.

Hii ni kutafuta umaarufu wa kisiasa:
Hawa watendaji ukiwatazama usoni utajifunza jambo, wanapomtaja Rais utagundua wamejaa unafiki, wanataja Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kwa taabu sana, unaona kabisa kuna kitu hakiko sawa, sijui Mama mwenyewe kama amegundua hili
 
Mjinga kweli weee, Wewe suala kama Hilo unaona dogo? Kuchoma nyaraka, kupoteza ushahidi?

Hapa suala sio tu kuchoma, suala hapa ni Nia ovu ya wachomaji na sababu ilopelekea kuchoma.

ACHA KUA MJINGA.
Msamehe bure mkuu. Hiyo reasoning siyo kwa wahitimu wa st kayumba kama yeye.
 
Kwamba PM anatafuta Cheap Popularity!!!! Kweli una maanisha hivyo? Kwamba PM siyo Maarufu?

Wewe KENGE kabisa
 
CCM itaendelea kuongoza Sana kwa sababu bado kuna watanzania wajinga Sana ambao wanatetea uovu wa viongozi na maofisa wa serikali.
 
Back
Top Bottom