PM aache kutafuta 'Cheap Popularity' kwa ishu ndogo tu ya kuungua nyaraka huko Rukwa

Hawa watendaji ukiwatazama usoni utajifunza jambo, wanapomtaja Rais utagundua wamejaa unafiki, wanataja Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kwa taabu sana, unaona kabisa kuna kitu hakiko sawa, sijui Mama mwenyewe kama amegundua hili
Uko sahihi
 
watumishi wa umma mlio aminiwa kusimamia miradi ya Serikali acheni wizi.

nashauri wale wote watakao thibitika kuiba au kusababisha ubadhirifu wa fedha za umma wafilisiwe mali zao zote.
 
Dokta hangaya kapiga elfu, majaliwa kumi elfu. Walisikika wakiimba.
Majaliwa ni bora zaidi mara 100, kuliko hangaya ndio maana yeye kazi awezayo ni kusafiri tu.
 
Bora Magu alikuwa anaita Media na kutusomea majibu ya ripoti za tume alizounda, ndio maana Mimi naona bora yeye maana baadhi ya vitu ambavyo nilikuwa navijua kama mwananchi kuhusu mambo ya serikali kidogo nilikuwa naweza kuvifafanua tofauti na sasa

#Nisichokijua...!!
 
watumishi wa umma mlio aminiwa kusimamia miradi ya Serikali acheni wizi.

nashauri wale wote watakao thibitika kuiba au kusababisha ubadhirifu wa fedha za umma wafilisiwe mali zao zote.
Waanze na waliochota mizigo Benki kuu
 
Ninyi wapuuzi ndio mnalikwamisha taifa Letu kwa masilahi yenu. Mali ya umma ni Mali ya umma bila kujali thamani au udogo wake. Mali ya umma lazima ilindwe Kwa uwajibikaji wa kisheria.
 
Ninyi wapuuzi ndio mnalikwamisha taifa Letu kwa masilahi yenu. Mali ya umma ni Mali ya umma bila kujali thamani au udogo wake. Mali ya umma lazima ilindwe Kwa uwajibikaji wa kisheria.
HUWAJUI WALIOLIKWAMISHA TAIFA YAANI..

mavi wewe
 
PM alizidiwa taarifa na KIGOGO kuhusu afya ya Bwana yule.

PM aliyetupiga saundi kule Kagera .

PM wa Mwendazake ?????

PM alizidiwa taarifa na KIGOGO kuhusu afya ya Bwana yule.

PM aliyetupiga saundi kule Kagera .

PM wa Mwendazake ?????
Alizidiwa taarifa au alitumika kuficha ukweli!?..yaani pm asijue taarifa za rais ajue kigogo!?
 
Alizidiwa taarifa au alitumika kuficha ukweli!?..yaani pm asijue taarifa za rais ajue kigogo!?
UKISEMA ALIUDANGANYA UMMA UTAPUNGUKIWA NINI??

SUBIRINI RIPOTI YA TAKUKURU NA MAAMUZI YA MAHAKAMA.

Siyo kulalamika Mama anahagaika sijui wanatuhurumia waTz . This is cheap Popularity brooo.
 
UKISEMA ALIUDANGANYA UMMA UTAPUNGUKIWA NINI??

SUBIRINI RIPOTI YA TAKUKURU NA MAAMUZI YA MAHAKAMA.

Siyo kulalamika Mama anahagaika sijui wanatuhurumia waTz . This is cheap Popularity brooo.
Unafikiri aliudanganya umma kwa maamuzi yake!?..wajamaa tu huwa waongo,ni tabia yao,si ulimsikia mkuu wa majeshi mstaafu akidai waliofanya kazi kubwa kuhakikisha Katiba inafuatwa baada ya kifo!
 
UKISEMA ALIUDANGANYA UMMA UTAPUNGUKIWA NINI??

SUBIRINI RIPOTI YA TAKUKURU NA MAAMUZI YA MAHAKAMA.

Siyo kulalamika Mama anahagaika sijui wanatuhurumia waTz . This is cheap Popularity brooo.
Taarifa za ugonjwa ni siri Kati ya daktari na mgonjwa leo ulitaka PM atoe siri za ugonjwa wa Rais hadharani? Tumieni akili basi
 
Na
Natamani nikutukane we UMBWA
 
Mjinga kweli weee, Wewe suala kama Hilo unaona dogo? Kuchoma nyaraka, kupoteza ushahidi?

Hapa suala sio tu kuchoma, suala hapa ni Nia ovu ya wachomaji na sababu ilopelekea kuchoma.

ACHA KUA MJINGA.

Huyo waziri mkuu mpaka leo ana ripoti ya mtu aliyekutwa kajiunganishia bomba la mafuta hapa mjini, hadi leo yuko kimya licha ya kuahidi kuweka ripoti hiyo hadharani. Anasaka kiki za bei rahisi kwa vidagaa huku hana ubavu na mambo makubwa kama issue ya mgao wa umeme. Aache siasa za kiki za kitoto. Hayo mambo madogo kuna Dc, RC, Takukuru, diwani, mbunge nk.
 
Anatakiwa awe mkali kwa issue za maana sio hizo pety issues. Yeye mwenyewe yuko madarakani kwa wizi wa kura, uadilifu atatoa wapi?
 
Pumbavu kabisa. Mpige fedha halafu mchome nyaraka kwamba ni issue ndogo!!!. Majizi mliokubuhu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…