PM aache kutafuta 'Cheap Popularity' kwa ishu ndogo tu ya kuungua nyaraka huko Rukwa

Hii nchi huwezi kuijenga. Tangu 1961 serikali ya CCM inahangaika na maji, umeme wa mgao, matundu ya choo shuleni, madawati, elimu na afya ambapo vitu hivi vingekuwa vimeisha kabisa 100%. Wewe utaweza kujenga nchi?
 
NDO NACHOMAANISHA.

VILAZA WA HUMU WANAKURUPUKA TU
 
Hii nchi huwezi kuijenga. Tangu 1961 serikali ya CCM inahangaika na maji, umeme wa mgao, matundu ya choo shuleni, madawati, elimu na afya ambapo vitu hivi vingekuwa vimeisha kabisa 100%. Wewe utaweza kujenga nchi?
Fact ..

Adui wa hii nchi siyo yule Mhasibu.. Maadui wakubwa wanajulikana...
 
Hata ni kweli
Bora huyo anayetafuta kwa vitendo kwa wale wanaojipe dekeza na kusifu kwenye hamna
 
Pole mkuu..inaelekea utakumbwa na fagio hilo...wacha PM atekeleze majukumu yake..Acha kulialia.
 
Hilo yanipasa kukuuliza,maana uelewa wako wa mambo ya serikali una mushkeli
Atoe ripoti ya wizi wa mabomba ya mafuta.

Serikali inahitaji Transparecy mzee. Siyo kufanya kiki nyingi halafu ripoti zijija zinakaliwa ofisini.

Haijathibitishwa mhasibu kuchoma karatasi hizo. Na neno la PM siyo hukumu ya mahakama.
 
Ushahamia kwenye Bomba la mafuta Tena!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…