PM Kassim Majaliwa piga kazi, achana na ndoto za Urais, umemponza SG Dk. Bashiru Ally

Sisi wajumbe toka mikoa ya kusini, kwa maana ya mtwara,Lindi,Ruvuma ,mbeya iringa ,Rukwa na Katavi, tumeapa piga Ua, fila garagaza kura yetu kwa Dr. Emmanuel Nchimbi. Tutafia uwanjani, na sisi zamu yetu kula bata mitano ijayo
Si mpaka apite kwenye 5 bora. Unaweza kukaa na kalamu yako vizuri na usiweze kumchagua.
 
Maoni yako yanaonyesha nawe ni mmojawapo ya wana kambi za wasaka Urais. Umeandika majungu mengi bila ushahidi wowote.
Huu ujinga wenu wa kuwaza uchaguzi kila baada ya uchaguzi ndo unasababisha Taifa hili lizidi kurudi nyuma.
Uchaguzi unapokwisha wote mnapaswa kuweka akili sawa kuisaidia Nchi kwenda kwenye malengo yake, lkn badala yake Chama kimekuwa na desturi ya kuzalisha makundi ya kutafuta nafasi kwa uchaguzi ujao.
Siku Wananchi wakielewa na kutupumzisha, pengine kuanzia hapo Nchi inaweza kuanza safari ya maendeleo.
 
Mleta uzi unaonekana una chuki na huyu Bwana mkubwa, unataarifu kwa hasira na huku mwishoni ndio umedhihirisha uzaifu wako kwa kutangaza chuki kwa PM. kila ntu anataka afike na abaki pazuri
 
Sisi wajumbe toka mikoa ya kusini, kwa maana ya mtwara,Lindi,Ruvuma ,mbeya iringa ,Rukwa na Katavi, tumeapa piga Ua, fila garagaza kura yetu kwa Dr. Emmanuel Nchimbi. Tutafia uwanjani, na sisi zamu yetu kula bata mitano ijayo
Je atafika tano bora?? Nchimbi,Kimbisa na Sofia Simba si walikua kambi ya Lowasa,na ndio hawa walipinga hadharani uteuzi wa Jiwe?? Hee he he! Subiri uje uone rangi ya jiwe ilivyo!
 
Anafaa kuchukua nafasi hio muda ukifika kwani amepata uzoefu kutoka kwa Rais.
 
Wote ni wabovu
 
Makonda?
 
Je atafika tano bora?? Nchimbi,Kimbisa na Sofia Simba si walikua kambi ya Lowasa,na ndio hawa walipinga hadharani uteuzi wa Jiwe?? Hee he he! Subiri uje uone rangi ya jiwe ilivyo!
Hana madhara 2025, kama huamini utaona,CCM ina utaratibu wa kuheshimiana unapokuwa madarakani lakini unapoondoka hali inakuwa tofauti sana kwa chaguzi zote, yangu enzi za nyerere, tena wajumbe wakushajua unampigia debe Fulani ndio hapiti kabisa. Muulize Jk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…