Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanafikiri urais ni kuvaa suti, hadi jafo ana akili ya kuwa rais!?Jaffo mnampa tu kiki hasizostahili....
Yule dogo hawezi kuwa Rais..kwanza hayuko smart enough kichwani, anafanya mambo kwa mihemko, hata haiba ya Urais hana.. Kwa kifupi hafai
Rais ajae ni lukuvi japo hana elimu. Sub yake ni kabudi alafu mwigulu ni shabiki nje ya uwanja...
Mkuu Huyo bado anaota mitandao ya 2015 Uraisi haupatikani kupitia mitandao tena maafisa kipenyo wako kila wilaya kila mkoa ndani ya chama ndani ya serikali na taasisi ndani ya bunge na ndani ya mahakama na ndani ya vyama vya bikini vya upinzani na NGOs Wanahabari na Business Community nk mtu akijiifanya kuunda mtandao uwe wa wazi au siri imekula kwakeHuenda na wewe ni miongoni mwa watu wanaosaka Urais!
PorojoWanabodi heshima kwenu!
Taarifa zilizonifikia kutoka chanzo ninachokiamini ni kwamba ziara za Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mikoani pamoja na mambo mengine anazitumia kujiweka sawa kwa ajili ya kumrithi Rais Magufuli.
Duru za siasa mikoani zinaeleza kwamba, sehemu kubwa ya Wabunge waliopitishwa na CCM na hatimaye kuwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ni mipango mahsusi iliyopangwa na PM Kassim na kuratibiwa na Katibu Mkuu Dk. Bashiru Ally kama hatua ya kwanza ya kujiweka sawa kwa 2025.
Hatua ya pili kupitia wabunge hao ni kupanga safu katika Uchaguzi Mkuu wa ndani ya Chama 2022 ambapo "wabunge wa PM" wamepewa jukumu la kushawishi wajumbe mikoani na wilayani kuunga mkono harakati hizo butu.
Taarifa zinaeleza kwamba, harakati hizo zinam-keep busy Waziri Mkuu kiasi kwamba utendaji wake kuwa shakani au dhaifu.
Hata hivyo, taarifa kutoka kwenye korido za Lumumba zinaeleza kuwa mamlaka za juu zimepata taarifa na hivyo hatua kadhaa zimeanza kuchukuliwa dhidi ya SG na PM likiwemo uteuzi wa Polepole Ubunge kufuatilia nyendo za PM bungeni.
My Take! Kutamani Urais si dhambi. Lakini tamaa hiyo inapokuondoa katika utendaji kazi basi ni kheri kujiuzulu ili kuwa huru kusaka Urais. Lakini pia ikumbukwe Waziri Mkuu naye ni Mkulu kiprotokali. Anaishi Ikulu. Kuutamani Urais ni kutaka kuishi Ikulu kwa miaka 20 tofauti na Rais aliyeishi 10 years. Hawezi kuruhusu ajali hiyo kutokea. Huu ni muda wa kujenga nchi si kusaka madaraka.
Ni ushauri tu!
Dotto mbona yuko vizuri, why not asiwe yeye
Dhana ya “The fifth column”Kwa nini mkuu? Kwani Uhuru wa kutoa maoni haupo JF
Rais ajaye ni nani? Tujuze tafadhali.Yaani mpaka leo hamjajua Rais ajaye?
Wewe jamaa una madini kichwani. Naitunza hii comment yako mpk mchakato utakapoanza.Hivi unadhani kina Gwajima wameenda bungeni kimakosa?? Subiri mchakato wakumsaka Rais uanze,ndiyo utajua
Ni UPUUZI MKUBWA KUJADILI RAIS 2025 .Ccm asilia vs Ccm Mpya.
Na kwa hasira na chuki zilizopo kwa ccm mpya sidhani kaa 2022 itatoka salama maana miaka kumi hii asilia wana hali ngumu sana na kimya chao kina mshindo siku wakiibuka
Hakuna dhambi mbaya kama uchonganishi we it it streets hearsay tabia ya kuchonganisha viongozi kwa kweli siyo tabia nzuri kabisa waziri mkuu wetu piga kazi kwa jinsi inavyostahili na kila mtu awajibike katika nafasi yakeWanabodi heshima kwenu!
Taarifa zilizonifikia kutoka chanzo ninachokiamini ni kwamba ziara za Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mikoani pamoja na mambo mengine anazitumia kujiweka sawa kwa ajili ya kumrithi Rais Magufuli.
Duru za siasa mikoani zinaeleza kwamba, sehemu kubwa ya Wabunge waliopitishwa na CCM na hatimaye kuwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ni mipango mahsusi iliyopangwa na PM Kassim na kuratibiwa na Katibu Mkuu Dk. Bashiru Ally kama hatua ya kwanza ya kujiweka sawa kwa 2025.
Hatua ya pili kupitia wabunge hao ni kupanga safu katika Uchaguzi Mkuu wa ndani ya Chama 2022 ambapo "wabunge wa PM" wamepewa jukumu la kushawishi wajumbe mikoani na wilayani kuunga mkono harakati hizo butu.
Taarifa zinaeleza kwamba, harakati hizo zinam-keep busy Waziri Mkuu kiasi kwamba utendaji wake kuwa shakani au dhaifu.
Hata hivyo, taarifa kutoka kwenye korido za Lumumba zinaeleza kuwa mamlaka za juu zimepata taarifa na hivyo hatua kadhaa zimeanza kuchukuliwa dhidi ya SG na PM likiwemo uteuzi wa Polepole Ubunge kufuatilia nyendo za PM bungeni.
My Take! Kutamani Urais si dhambi. Lakini tamaa hiyo inapokuondoa katika utendaji kazi basi ni kheri kujiuzulu ili kuwa huru kusaka Urais. Lakini pia ikumbukwe Waziri Mkuu naye ni Mkulu kiprotokali. Anaishi Ikulu. Kuutamani Urais ni kutaka kuishi Ikulu kwa miaka 20 tofauti na Rais aliyeishi 10 years. Hawezi kuruhusu ajali hiyo kutokea. Huu ni muda wa kujenga nchi si kusaka madaraka.
Ni ushauri tu!
Jiwe has lowered the bar of the presidency to such a low such that even fools believe they can be presidents.
20 years Ikulu.
Kambi za kijinga zishaanza kuchafuana, huyu kama si mwigu ni janMarais wote waliomtangulia walikuwa na akili na wabobezi wa siasa kuliko Jiwe lakini walishindwa kuwachagulia wabongo warithi wao!!! Mkwere alimtaka Membe , sasa yuko wapi? Hata Mwalimu alishndwa kumuachia Salim!!! Kama ana akili kidogo ataelewa kuwa kama ana mpango wa kumuachia msukuma mwenzie afadhali auache.