Tetesi: PM, Philips, Foreign na February wamekalia kuti kavu?

Kama kweli bac yajayo yanasikitisha,
Wakulima WA Kahawa,Maindi na Mbaazi nao wanasubli bei elekezi.
 
1. PM hawezi kumtoa kwa sasa atamuacha amalize muda wake lakini sina hakika kama atarudi kuwa PM 2020 mara baada ya Uchaguzi.
2. Philips nae atamuacha amalize muda uhakika wa kurudi pale ninao 100% ila naibu waziri aweza kuwa Charles Kimei
3. Foregn hawezi kumng'oa pale hana mwana diplomasia makini kama yule kwasasa ndani ya CCM ukizingatia zile nafasi zake za ubunge kamaliza, ata 2020 uhakika ninao anarudi wizara yake.
 
Sababu ulizotoa zote hazina mashiko. Tatizo la uchumi kuporomoka sio kosa la philipo ni magufuli mwenyewe. Swala la korosho nalo sio la PM ni magufuli mwenyewe kuchanganya biashara na siasa za kutaka utukufu. Mambo ya nje nayo hahusiki hata kidogo, mahusiano yetu na nch za nje kavurugwa magufuli mwenyewe na mwanaye kwa kauli zao zisizokuwa na vichwa wala miguu.
 
Sababu zote za msingi zipo za kuwatumbua.January(a.k.a February), sijui kwa nini yupo mpaka sasa,huyu kweli ni kinyonga,na wengi tulishasema huyu ni mali ya Kikwete,he can't change.Phillip nae kweli mambo hayaendi, uchumi umedorora.Mahiga naye si uongo, diplomasia ya nchi za nje imemshinda, Mkulu anakosolewa ughaibuni kila kukicha.Mahiga kashindwa kui-brand nchi kabisa.Wapo wengine wanne ambao nao sijui kwa nini wapo:Mwakyembe,
Kagairuki,Lugola na Ndalichako.
Mwakyembe kaegeshwa tu michezo, lakini kiukweli si mahali pake.Ndalichako naye sioni analofanya Elimu,nilitegemea elimu yetu iwe overhauled ili kuiboresha, lakini sioni la msingi linalofanyika,matatizo yanayofanya elimu yetu iwe duni yako pale pale.Kagaruki naye ni kama old wine in a new bottle,sioni jipya.Lugola naye alianza kufurukuta furukuta wee, lakini matatizo ya Wizara ya Mambo ya Ndani yako pale.It is business as usual.Sijui Rais wetu msaada ataupata wapi,there is simply too much sabotage from within.Naweza kusema adui zake wapo nyumbani mwake.
 

Mambo ya msingi:
1: Sifa za KIONGOZI ni nini? - ikizingatia kwamba uongozi ni dhamana
2: Lip service, nikimaanisha UWEZO WA KUCHONGA, hususani pumba, una nafasi gani katika siasa za nchi yetu ?
3: Haitatokea kamwe SOTE tuwe na mawazo ya aina moja. Hatujaumbwa kihivo. Uwezo wa kupambanua mambo, meaning critical analysis hukolezwa pia na ELIMU ya juu. Facts zingine huwezi jua kama wewe ulikimbia shule, husomi na umebakia kushabikia upuuzi based on sheer IGNORANCE. Magna ignoramus wewe. Naandika hivi ili nikumbushie kwamba kuna wakati fulani wenye maono tofauti waliwekwa kwenye kundi la wenye KASUMBA. Aha, leo hii wa aina hiyo wanasakamwa kwa majina kama vile WASALITI, SIO RAIA na hata kibaguzi kwamba ni wale wa KASKAZINI!

Nchi yetu haitapiga hatua zile tunazotaka kwa wakati tunaotegemea kimasihara (issue 1,2,3 n.k) ... tunapoteza muda adimu kwa kuhangaika na mambo yasiyo na TIJA.

ADUI mkuu wa nchi yetu ni MFUMO unaoruhusu yote hayo katika awamu yoyote ile. Yanayotokea sasa ni kile kiitwacho, tip of the iceberg. Dark times ahead imminent.
 

Jana pale 95Kj amesema yeye ni kisiki, hatikisiki na waliojaribu kumtikisa walitikisika wenyewe!
 
Wanaweza kufukuzwa wote lakini sio January makamba kumbuka hata wakati anapanga Baraza la mawaziri la kwanza wakati kaingia ikulu hakumteua January ndipo kikwete akamshauri asimwache January nje ya baraza akaamua kumpa Wizara ya muungano kwa shingo Upande tu lakini January na yeye katengeneza Bajeti kubwa juu ya kutatua kero za muungano akaipiga pesa yote pasipo kukaa vikao vyevyote na kumaliza kero, baada ya magufuli kugundua huo Ufisadi akataka kumtumbua lakini kikwete akamtetea kuwa akimtupa January kule 2020 CCM itaweza kupata Taabu sana kwani Siri na mbinu za ushindi wa ccm anazo January makamba ni vyema magufuli aendelee kumuabudu kama mungu kuliko kukaa kupanga mipango ya kumtumbua.
 
lakini yule mwanaume mwenye kalio kubwa kama demu bado kakalia kiti cha ofisi ya serikali
kweli tako lina nguvu sana
Bashite ni Mlinzi na msiri wa magufuli Miladi yote, pesa za familia , migao ya percent za madili ya magufuli na kila kitu ikiwemo Sangoma na mengineyo ni Bashite kapewa jukumu la kusimamia mali zote za magufuli , hivyo ni vigumu atumbuliwe hata ilitokea ampe Mtoto wa magufuli ujauzito.
 
foreign Kwa kweli amepwaya mno..kama sio ndimi mbili za February nadhani angefaa sana kujaza Ile nafasi ya foreign..pm sioni tatizo lake..sioni mtu anayeweza kumrithi Kwa sasa.philip Sisi watu wa mpira tunasema katoa boko,kafungisha..naamini mwigulu angekuwa msaada Mkubwa Sana pale.ila kama itampendeza jiwe anaweza kumuondoa ndalichako pale elimu akamuweka jaffo.
 
Foreign anaficha udhaifu mwingi wa Bwana Mkubwa, kaona mengi katika umri wa zaidi ya miaka 70.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…