The Valiant
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,826
- 3,947
Hata ongea yake ilionesha hiloJuz ndo nilijua PM anasukumwa tu..hili la wafanya biashara kumbe alipigiwa awape siku 4
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata ongea yake ilionesha hiloJuz ndo nilijua PM anasukumwa tu..hili la wafanya biashara kumbe alipigiwa awape siku 4
hata mimi nilitambua hilo jpm anaogopeka jamaniiJuz ndo nilijua PM anasukumwa tu..hili la wafanya biashara kumbe alipigiwa awape siku 4
umemasahau mmojaMsimu wa kutumbua tumbua katika utawala wa mtukufu hautakoma kamwe. Kila baada ya muda kuna kigogo ndani ya utawala anatumbuliwa. Ndio mtindo wake, hivyo tunapaswa kuuelewa na kuuzoea tu.
Wadadisi wa mambo wameshaweza kumsoma mtukufu na kuweza kutengeneza baadhi ya tabiri ambazo mara kadhaa zimekuwa kweli kabisa. Na JF ndio imekuwa kinara wa kuweza kuzisoma Codes na kuunganisha mambo.
Ukitazama kauli kadhaa za mtukufu kuhusiana na PM wake utagundua kabisa ipo siku atatemwa tu. PM huenda ameshachokwa na bosi wake na kilichobakia ni kutengenezewa sababu nzito ya kwenda na maji. Hili la korosho ndio lilikuwa jaribio la pili, limewakumba wenzake na kumuacha salama PM, lakini kwa jicho la karibu sana, linaonekana bado bichi mnoo, hivyo PM akae kwa umakini.....
Upande wa Philips nako hali si hali, uchumi umeyumba, makusanyo ya kodi anadai yameshuka, hakuna vyanzo vipya vya mapato, mambo hayaendi, lugha zinagongana tu na bosi wake au mtoto wa bosi. Lazima mchawi atafutwe tu. Waswahili wanasema mchawi ndio alipewa alee mtoto, na mtoto ameshaangamia, kitakachofuata ni mchawi naye kuangamizwa. Philips hawezi kukwepa mtego tena. Ni suala la muda tu.....
Foreign naye huenda ameshachoka, amebanwa mnoo, hana pakusimamia, diplomasia ya Tz imepwaya mno, uwaziri kwake umegeuka kuwa shubiri, anatamani huo mzigo autue lakini anaona aibu na woga umemjaa, hana ujanja, msimamo wa bosi hauwezi kuivusha nchi kimataifa, mabalozi wamelala fofofo, hawana mbinu mbadala. Mtego uliopo mbele yake kwa sasa ni kuwa dalali wa kuuza korosho kimaitaifa. Huo ni mtihani kwake, Kitakachofuata ni kwenda na maji tu...
February yeye anajua tayari yuko kwenye blacklist, hatakiwi kuwepo kwenye baraza, anatuhumiwa kuwa ana ndimi mbili, haaminiki kabisa, anatajwa kama ndiye mjumbe mkuu wa yule adui ndani ya serikali. Kwake ni suala la muda tu, uamuzi ulishafanyika toka kitambo na mwenyewe anajua hilo. Ni
Hizo zote ni ndoto za Zanzibar-ASP.
Malizia " in the name of Tundu Lisu ". Lasivyo wasiojilikana watakuhusu sasa hiviTuna rais wa ajabu haijawah kutokea
Family lawProf atarudia chaki hana wasiwasi
Frustrated-sijaribiwi- jiwe,-kichaa- mshenzi- kisiki, huenda anaongozwa na roho za kuzimuJana pale 95Kj amesema yeye ni kisiki, hatikisiki na waliojaribu kumtikisa walitikisika wenyewe!
E bwana e!Msimu wa kutumbua tumbua katika utawala wa mtukufu hautakoma kamwe. Kila baada ya muda kuna kigogo ndani ya utawala anatumbuliwa. Ndio mtindo wake, hivyo tunapaswa kuuelewa na kuuzoea tu.
Wadadisi wa mambo wameshaweza kumsoma mtukufu na kuweza kutengeneza baadhi ya tabiri ambazo mara kadhaa zimekuwa kweli kabisa. Na JF ndio imekuwa kinara wa kuweza kuzisoma Codes na kuunganisha mambo.
Ukitazama kauli kadhaa za mtukufu kuhusiana na PM wake utagundua kabisa ipo siku atatemwa tu. PM huenda ameshachokwa na bosi wake na kilichobakia ni kutengenezewa sababu nzito ya kwenda na maji. Hili la korosho ndio lilikuwa jaribio la pili, limewakumba wenzake na kumuacha salama PM, lakini kwa jicho la karibu sana, linaonekana bado bichi mnoo, hivyo PM akae kwa umakini.....
Upande wa Philips nako hali si hali, uchumi umeyumba, makusanyo ya kodi anadai yameshuka, hakuna vyanzo vipya vya mapato, mambo hayaendi, lugha zinagongana tu na bosi wake au mtoto wa bosi. Lazima mchawi atafutwe tu. Waswahili wanasema mchawi ndio alipewa alee mtoto, na mtoto ameshaangamia, kitakachofuata ni mchawi naye kuangamizwa. Philips hawezi kukwepa mtego tena. Ni suala la muda tu.....
Foreign naye huenda ameshachoka, amebanwa mnoo, hana pakusimamia, diplomasia ya Tz imepwaya mno, uwaziri kwake umegeuka kuwa shubiri, anatamani huo mzigo autue lakini anaona aibu na woga umemjaa, hana ujanja, msimamo wa bosi hauwezi kuivusha nchi kimataifa, mabalozi wamelala fofofo, hawana mbinu mbadala. Mtego uliopo mbele yake kwa sasa ni kuwa dalali wa kuuza korosho kimaitaifa. Huo ni mtihani kwake, Kitakachofuata ni kwenda na maji tu...
February yeye anajua tayari yuko kwenye blacklist, hatakiwi kuwepo kwenye baraza, anatuhumiwa kuwa ana ndimi mbili, haaminiki kabisa, anatajwa kama ndiye mjumbe mkuu wa yule adui ndani ya serikali. Kwake ni suala la muda tu, uamuzi ulishafanyika toka kitambo na mwenyewe anajua hilo. Ni
Hizo zote ni ndoto za Zanzibar-ASP.
Yah, ni mtu mwenye fairness na hajikwezi. Hafanani kabisa na yule anayelia makanisani, utadhani ana mapepo, pambafu kabisa.Tatizo sio mkurupukaji na hana ngebe na maneno ya kashfa,kwahyo anakuwa haendani na modus operandi ya Awamu ya tano.
In bwana marisasi voiceTuna rais wa ajabu haijawah kutokea
Haa nimempenda huyo February namtafuta March aliko. kwenye uchumi nilisha sema tunahitaji ''Welfare Economy'' na siyo wa mdomoni ama makaratasi bali kwavitendoMsimu wa kutumbua tumbua katika utawala wa mtukufu hautakoma kamwe. Kila baada ya muda kuna kigogo ndani ya utawala anatumbuliwa. Ndio mtindo wake, hivyo tunapaswa kuuelewa na kuuzoea tu.
Wadadisi wa mambo wameshaweza kumsoma mtukufu na kuweza kutengeneza baadhi ya tabiri ambazo mara kadhaa zimekuwa kweli kabisa. Na JF ndio imekuwa kinara wa kuweza kuzisoma Codes na kuunganisha mambo.
Ukitazama kauli kadhaa za mtukufu kuhusiana na PM wake utagundua kabisa ipo siku atatemwa tu. PM huenda ameshachokwa na bosi wake na kilichobakia ni kutengenezewa sababu nzito ya kwenda na maji. Hili la korosho ndio lilikuwa jaribio la pili, limewakumba wenzake na kumuacha salama PM, lakini kwa jicho la karibu sana, linaonekana bado bichi mnoo, hivyo PM akae kwa umakini.....
Upande wa Philips nako hali si hali, uchumi umeyumba, makusanyo ya kodi anadai yameshuka, hakuna vyanzo vipya vya mapato, mambo hayaendi, lugha zinagongana tu na bosi wake au mtoto wa bosi. Lazima mchawi atafutwe tu. Waswahili wanasema mchawi ndio alipewa alee mtoto, na mtoto ameshaangamia, kitakachofuata ni mchawi naye kuangamizwa. Philips hawezi kukwepa mtego tena. Ni suala la muda tu.....
Foreign naye huenda ameshachoka, amebanwa mnoo, hana pakusimamia, diplomasia ya Tz imepwaya mno, uwaziri kwake umegeuka kuwa shubiri, anatamani huo mzigo autue lakini anaona aibu na woga umemjaa, hana ujanja, msimamo wa bosi hauwezi kuivusha nchi kimataifa, mabalozi wamelala fofofo, hawana mbinu mbadala. Mtego uliopo mbele yake kwa sasa ni kuwa dalali wa kuuza korosho kimaitaifa. Huo ni mtihani kwake, Kitakachofuata ni kwenda na maji tu...
February yeye anajua tayari yuko kwenye blacklist, hatakiwi kuwepo kwenye baraza, anatuhumiwa kuwa ana ndimi mbili, haaminiki kabisa, anatajwa kama ndiye mjumbe mkuu wa yule adui ndani ya serikali. Kwake ni suala la muda tu, uamuzi ulishafanyika toka kitambo na mwenyewe anajua hilo. Ni
Hizo zote ni ndoto za Zanzibar-ASP.
Jana pale 95Kj amesema yeye ni kisiki, hatikisiki na waliojaribu kumtikisa walitikisika wenyewe!
'sitikisiki, waliojaribu kunitikisa, walitikisika weyewe'Frustrated-sijaribiwi- jiwe,-kichaa- mshenzi- kisiki, huenda anaongozwa na roho za kuzimu
Kwanini anapenda kujipa majina ya uovu
Ajiite upendo, faraja, mwalimu, msikivu
Hajui kuwa tuna watu waliopo kwenye source ya information husika... halafu kaingia hapa JF kama jamaa tu mwenye shughuli zake za kawaida.hu
mu hakunaga rubish yalisemwa ya tizeba mwaijage na yakawa humu we soma subiri
Na hizo ndo sifa kuu za mtu mnafiki + diktetaNa yule wa makinikia nae ajiandae endapo tutashindwa kesi na sakata zima likafeli huki tukishindwa kulipwa chochote.
Mkulu huwa sambamba na wasaidizi wake pale wanapotekeleza alitakalo, ila likibuma, basi yeye hujinasua kwa kuwatema ili wao ndio waonekane ni chanzo/wazembe.
Msisahau yeye anapenda kuonekana ni mtu wa mafanikio siku zote na si vinginevyo na kwamba hashindwi jambo kitu ambacho si kweli na katika hali ya kawaida hakiwezekani.
To work with Mr. Successful, you need first to guarantee him success all the times, otherwise you are gone.
Anachoangalia ni aliyepewa nafasi ameshindwa kurekebisha ili yeye aendelee kutukuka kwa kuwa yeye hana kosa...Sababu ulizotoa zote hazina mashiko. Tatizo la uchumi kuporomoka sio kosa la philipo ni magufuli mwenyewe. Swala la korosho nalo sio la PM ni magufuli mwenyewe kuchanganya biashara na siasa za kutaka utukufu. Mambo ya nje nayo hahusiki hata kidogo, mahusiano yetu na nch za nje kavurugwa magufuli mwenyewe na mwanaye kwa kauli zao zisizokuwa na vichwa wala miguu.
Keshasemaa hatikisikiiiWanaweza kufukuzwa wote lakini sio January makamba kumbuka hata wakati anapanga Baraza la mawaziri la kwanza wakati kaingia ikulu hakumteua January ndipo kikwete akamshauri asimwache January nje ya baraza akaamua kumpa Wizara ya muungano kwa shingo Upande tu lakini January na yeye katengeneza Bajeti kubwa juu ya kutatua kero za muungano akaipiga pesa yote pasipo kukaa vikao vyevyote na kumaliza kero, baada ya magufuli kugundua huo Ufisadi akataka kumtumbua lakini kikwete akamtetea kuwa akimtupa January kule 2020 CCM itaweza kupata Taabu sana kwani Siri na mbinu za ushindi wa ccm anazo January makamba ni vyema magufuli aendelee kumuabudu kama mungu kuliko kukaa kupanga mipango ya kumtumbua.
kikombe hiki Marope kamwe hakiepuki kutumbuliwa kupo pale pale.Yes, bosi anaogopa kuonekana kuwa amefundishwa kazi.
Sasa inatafutwa angle na timing tu, February awekwe benchi.