Tetesi: PM, Philips, Foreign na February wamekalia kuti kavu?

ume
umemasahau mmoja
 
Jana pale 95Kj amesema yeye ni kisiki, hatikisiki na waliojaribu kumtikisa walitikisika wenyewe!
Frustrated-sijaribiwi- jiwe,-kichaa- mshenzi- kisiki, huenda anaongozwa na roho za kuzimu
Kwanini anapenda kujipa majina ya uovu
Ajiite upendo, faraja, mwalimu, msikivu
 
E bwana e!
Patamu hapo! Lakini siamini.
 
Haa nimempenda huyo February namtafuta March aliko. kwenye uchumi nilisha sema tunahitaji ''Welfare Economy'' na siyo wa mdomoni ama makaratasi bali kwavitendo
 
Frustrated-sijaribiwi- jiwe,-kichaa- mshenzi- kisiki, huenda anaongozwa na roho za kuzimu
Kwanini anapenda kujipa majina ya uovu
Ajiite upendo, faraja, mwalimu, msikivu
'sitikisiki, waliojaribu kunitikisa, walitikisika weyewe'
 
hu
mu hakunaga rubish yalisemwa ya tizeba mwaijage na yakawa humu we soma subiri
Hajui kuwa tuna watu waliopo kwenye source ya information husika... halafu kaingia hapa JF kama jamaa tu mwenye shughuli zake za kawaida.
 
Na hizo ndo sifa kuu za mtu mnafiki + dikteta
 
Harafu pm atakuwa bashite [emoji23][emoji23] nawaza kwa sauti tu
 
Anachoangalia ni aliyepewa nafasi ameshindwa kurekebisha ili yeye aendelee kutukuka kwa kuwa yeye hana kosa...
 
Keshasemaa hatikisikiii
 
Hakuna anayetabiri mboye ataachia kiti lini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…