Tetesi: PM, Philips, Foreign na February wamekalia kuti kavu?

natamani itokee siku mawaziri wenye akili wote wajiuzuru then jiwe awape wizara akina kibajaj maana kwa aibu iliyopo njaa tuu ndio zinafanya mawaziri waendelee kuhold on na nafasi zao
 
kwangu wakitumbuliwa poa tu. majaliwa kawasahau mpaka walimu wenzie. hakuna cha madaraja wala kupandishwa mishahara...
Sio yeye plz! Hayo yote yanasababibwa na baba jesca mwenyewe, hawana la kufanya hawana namna, baba jesca hashauriki na mbaya zaidi anasema hatikiswi...... Na bado tutaona nyota zote
 
Anavuruga yeye lakini zigo anaangushia Kwa watumishi wake shida ndo iko hapo
 
Huyo kairuki hata ukimminya poumbou kamwe hatamtumbua
 
Hana nia nzuri ni boya tu
 
Normally Mpenda kusifiwa yeyote mambo yakienda mrama hutafuta wa kumtupia zigo la lawama....
 
Ungejua sasa hivi kodi inalipwa kuliko awamu zote usingesingizia elimu ya kodi. Tatizo sasa hivi uchumi umekufa kulingana na sera za awamu hii, makampuni mengi ya na fungwa, mzunguko ni mdogo wananchi wanalia Hali ngumu, mwanzo serikali ilijua hii Hali ni utani na wanao lalamika ni mafisadi kumbe si kweli, ukichangia na ukosefu wa ajira ndo kabisa.

Ningekuwa Raisi ningebadilisha waziri wa fedha heeeh Hali ni mbaya sana ya uchumi kwa sasa
 
Mi naona January angefaa foreign minister yuko na exposure sana, yani awamu hii hyo wizara imelala sana aisee had tunaonekana zero kimataifa. Huyo Philipp sijajua alilofanya zaidi ya Kuua tu uchumi wa hii nchi yetu.

Mama ndalichako ndo utafikiri sio prof. Mheshimiwa angejua ma prof utendaji wao huwa sifuri wamezoea ku cremisha ma theory utendaji zero angewaweka tu bench kwanza, Jaffo yuko vzuri
 
Amewatenga wafanyabiashara akasema ni mafidadi sasa anataka hela yao ya nini anatakiwa afanye yeye biashara, jiwe akili hana akikosea amatafuta wakumtwisha kosa lake .Hata apewe nani hawezi kufaulu
 
Ni kweli, kuteua kwa PhD sio ishu. Sitetei watu wasiipate lakini wengi utendaji ni mdogo au sufuri.
Kuna watu wanapiga kazi bila PhD, mfano Lukuvi, Jafo, PM Majaliwa, naona wanawazidi PhD wengi katika baraza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…