Tetesi: PM, Philips, Foreign na February wamekalia kuti kavu?

Tulieni dose iwaingie tuu..namba inasomeka kotekote[emoji445]
 
Som Soma nilichoandika vizuri utaelewa.
 
Kwa PM nakuunga mkono, ni ngumu sana kutemwa!!
 
Ni kweli, kuteua kwa PhD sio ishu. Sitetei watu wasiipate lakini wengi utendaji ni mdogo au sufuri.
Kuna watu wanapiga kazi bila PhD, mfano Lukuvi, Jafo, PM Majaliwa, naona wanawazidi PhD wengi katika baraza.
Ni kweli kabisa kwanza mpaka sasa kwa maoni yangu naona viongozi walioendana na kasi ya Raisi wengi wao ni vijana japo wanamapungufu ya hapa na pale lakini wamejitahidi sana kuonesha uwezo wao japo kuna namna fulani ya nguvu inatumika kuwavunja moyo. Ila raisi akiendelea kuwapa nafasi hii nchi itabadilika soon na kufanya kazi kwa mazoea kutaisha. Mifano michache Mh. Makonda ameweza kutokomeza kipindupindu Dar, Kigwangala kawatokomeza kama sio kuwapunguza majangili, Nenda Arusha ukashuhudie kazi za Gambo na ushawishi wake kwenye maendeleo, nani asiyejua kazi anayofanya Jafo.
 
PM anadhibitishwa na bunge hivyo hawezi kumfukuza, ni kama majaji Alisha wateua hawezi kuwaondoa.
 
Za chini ya kapeti, "Tarishi Mkuu" alishaweka nia ya kumwaga manyanga, wazee wakaingilia kati. Ishu hii hii ya koroshow
 
Eti Sangoma?! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Soma katiba vizuri, soma Historia, hakuna waziri mkuu aliewahi kuondolewa kwenye nafasi yake kabla??
PM anadhibitishwa na bunge hivyo hawezi kumfukuza, ni kama majaji Alisha wateua hawezi kuwaondoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…