Tetesi: PM, Philips, Foreign na February wamekalia kuti kavu?

Tetesi: PM, Philips, Foreign na February wamekalia kuti kavu?

Tulieni dose iwaingie tuu..namba inasomeka kotekote[emoji445]
 
Som
Ungejua sasa hivi kodi inalipwa kuliko awamu zote usingesingizia elimu ya kodi. Tatizo sasa hivi uchumi umekufa kulingana na sera za awamu hii, makampuni mengi ya na fungwa, mzunguko ni mdogo wananchi wanalia Hali ngumu, mwanzo serikali ilijua hii Hali ni utani na wanao lalamika ni mafisadi kumbe si kweli, ukichangia na ukosefu wa ajira ndo kabisa.

Ningekuwa Raisi ningebadilisha waziri wa fedha heeeh Hali ni mbaya sana ya uchumi kwa sasa
Soma nilichoandika vizuri utaelewa.
 
Kama atamtema PM basi atakuwa amefanya kosa kubwa sana la kiufundi. Itamgharimu zaidi ya anavyodhani.

PM ni very dedicated katika kila anachokifanya. Pia PM anajitofautisha na bosi wake katika matumizi sahihi ya kuweka mizania ya maamuzi.

PM anajua ni wakati gani awe mwanasiasa na ni wakati gani asicheke na mtu aliye mbele ya uso wake. Hao wengine haswa february, anaweza kupigwa chini muda wowote, kwa sababu keshaonyesha kejeli za zile katuni zake.
Kwa PM nakuunga mkono, ni ngumu sana kutemwa!!
 
Ni kweli, kuteua kwa PhD sio ishu. Sitetei watu wasiipate lakini wengi utendaji ni mdogo au sufuri.
Kuna watu wanapiga kazi bila PhD, mfano Lukuvi, Jafo, PM Majaliwa, naona wanawazidi PhD wengi katika baraza.
Ni kweli kabisa kwanza mpaka sasa kwa maoni yangu naona viongozi walioendana na kasi ya Raisi wengi wao ni vijana japo wanamapungufu ya hapa na pale lakini wamejitahidi sana kuonesha uwezo wao japo kuna namna fulani ya nguvu inatumika kuwavunja moyo. Ila raisi akiendelea kuwapa nafasi hii nchi itabadilika soon na kufanya kazi kwa mazoea kutaisha. Mifano michache Mh. Makonda ameweza kutokomeza kipindupindu Dar, Kigwangala kawatokomeza kama sio kuwapunguza majangili, Nenda Arusha ukashuhudie kazi za Gambo na ushawishi wake kwenye maendeleo, nani asiyejua kazi anayofanya Jafo.
 
PM anadhibitishwa na bunge hivyo hawezi kumfukuza, ni kama majaji Alisha wateua hawezi kuwaondoa.
 
Za chini ya kapeti, "Tarishi Mkuu" alishaweka nia ya kumwaga manyanga, wazee wakaingilia kati. Ishu hii hii ya koroshow
 
Bashite ni Mlinzi na msiri wa magufuli Miladi yote, pesa za familia , migao ya percent za madili ya magufuli na kila kitu ikiwemo Sangoma na mengineyo ni Bashite kapewa jukumu la kusimamia mali zote za magufuli , hivyo ni vigumu atumbuliwe hata ilitokea ampe Mtoto wa magufuli ujauzito.
Eti Sangoma?! 😂😂😂
 
Soma katiba vizuri, soma Historia, hakuna waziri mkuu aliewahi kuondolewa kwenye nafasi yake kabla??
PM anadhibitishwa na bunge hivyo hawezi kumfukuza, ni kama majaji Alisha wateua hawezi kuwaondoa.
 
Back
Top Bottom