PM za wadada wengi wa MMU zimejaa meseji za mitongozo

Afu na hiki kimvua uko busy tu unaandika huu uzi, kama nati imelegea leta ikazwe.
 
Watu wenye kupenda ngono na wazinzi utawajua tu hata mada zao hapa,mleta uzi hapitishi siku 2 bila kuleta uzi unaohusu mambo ya kugegedana tu
 
Wewe mme umempata humu kwani mitaani kweli nyani haoni kundule
 
moniccca Mdogo wangu uwe na siri, hawa wanaoku PM wanafanya hayo kwa kukuonea huruma na kuunguzwa uliko lia hapa jana au juzi, sasa nao unawaumbua😛
 
Wewe utakuwa comedian nimekustukia unayoyaandika hapa jf yote hayana uhalisia.
Ni kweli kabisa mkuu haiwezekani mtu na akili zake timamu awe na ujasiri wa kuzungumuza mambo ya hovyo namna au anatafuta umaarufu
 
tutake radhi tafadhali kwa maneno yenye red,hasa mimi,sijui wenzangu kama wameridhika
 
moniccca Mdogo wangu uwe na siri, hawa wanaoku PM wanafanya hayo kwa kukuonea huruma na kuunguzwa uliko lia hapa jana au juzi, sasa nao unawaumbua😛
Dada angu nikweli lkn wamezid yaani mpaka PM yangu imejaa, ukizingatia mim ni mke wa mtu now akiomba achungulie kwenye ID yangu unadhani ntakuwa na ndoa tena?
 
Dada angu nikweli lkn wamezid yaani mpaka PM yangu imejaa, ukizingatia mim ni mke wa mtu now akiomba achungulie kwenye ID yangu unadhani ntakuwa na ndoa tena?
Unanatia kichefuchefu
 
We PM za wenzio umezisomea wapi..?? AU mnaambiana..??
 
Dada angu nikweli lkn wamezid yaani mpaka PM yangu imejaa, ukizingatia mim ni mke wa mtu now akiomba achungulie kwenye ID yangu unadhani ntakuwa na ndoa tena?
Kama mumeo atakuacha kwa sababu umetongozwa, hataweza oa tena... Maana mwanamke hana control ya nani asimtongoze au nani amtongoze... COntrol aliyonayo ni kukubali au kukataa... LABDA KAMA PM YAKO IMEJAA KUSIFIA JINSI ULIVYOGEGEDWA NA ALIYEKUTONGOZWA HAPO KUACHWA KUTAKUHUSU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…