PM za wadada wengi wa MMU zimejaa meseji za mitongozo

[emoji13] [emoji13]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Nishatongozwa kitambo sio leo wewe ndio unaamka saa hii ni makubaliano tu pa kukutana na muda kutongozwa saaa hizi?? Umechelewa sana "Nilishapita" huko dogo
Basi bhana naona povu limeshaanza kukutoka
 
Povu kisa?? Kwa kuwa ulimpata mumeo JF? Mara shahawa zinaunguza?? "Unanchekesha" in Faiza Foxy tone He he kwa raha zangu bwana wewe
Hivi umeswali swala ya magharibi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…