PM za wadada wengi wa MMU zimejaa meseji za mitongozo


"Sifa za Kijinga"
 
moniii;
Kweli tutakumiss sana huku kitaa. Sa umekuwa Mrs basi tena. Itakuwa ni kuku PM tu hakuna njia nyingine. Tukisubiri utoke tena nje hata kwenda markiti ni hola tu kwani mbegu zimekuunguza huwezi tembea.
Dah! Hata kwenye PM umetufungia. Kweli kuolewa kutam jama. Ila monii, tulia kidogo, usianze kuudhara mwiba. Yawezekana hao hao wanao ku PM si madomo zege ila wamengojea sana getini utoke wakuwekee mbegu baridiiii on the rocks hakika. Kwa jinsi ulivyo sharp usiache kuja kutueleza wanaume wa jf walivyo marijali
 
Angalau Leo umeongea kiume bwana mdogo
 
Ukichanganya Mchele na Mchanga ni shida angalau changanya "Pumba na Mchele" Utapepeta.......... Done... and Left
 
Vipi mbegu za mume wako zimeacha kukuunguza
[emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…