Mtu yupo honeymoon bado anapata muda gani wa kuandika haya mambo humu. Honeymoon hata simu zinazimwa only 111 ya operator basi. Nina shaka na mchumba/ndoa yake. Sweet Dreams.Sorry wewe si ulisema umepata mchumba hapa JF?
na umeshaolewa ?
si yalianzia PM? au?
Dah unavaa tshirt tumbo linatangulia mbele.teh!teh!!teh!!!..... Mbona nasikia wadada huwa mnavipenda vitambi kiaina rafiki?
Una mpango wa kuanza na nani mkuu?Alaf sijatongoza jf mda mrefu , umenikumbusha asee, ngoja nianze kaz
We vale mbona unamuhojii mwenzio hivyoo[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] akikujibu niite1. Monica umefuatilia pm za wadada wangapi?
2. Halafu inamana wanaotongoza huko pm ni madomo zege?
3. Na isingekua hiyo pm mume ungempata?
4. Kitu gani kilikufanya kuja kutafuta mume huku JF?
Teh teh! Ndo naendelea kujishaur apaUna mpango wa kuanza na nani mkuu?
Hahaha, once nliwahi fanya little research and got answers for my questions. Nlika kimalaya Malaya afu kenye avatar nikaekelea demu moja msupuuu. For the time being within an hour sms zinafika ni mob. Some askin me to https://jamii.app/JFUserGuide to night, some askin for handset numbers. After hiyo I wrote my dissertation paper!! Thanks zao maana their stupidity was my capital Hahaha.... Tell them to get a grip motherfuckers.Wanajamvi mambo zenu.
Nimegundua jukwaa hili limejaa wanaume wasio na mtazamo wowote zaidi ya ngono.
wanaume wapo kwaajili ya kuvia mademu
Ukifuatilia PM za wadada wanachangia humu utaona jinsi zinavyofurika meseji za mitongozo.
najiuliza kwanini ukimbilie huku? Huko mtaani hamuwaoni?
Mpaka Leo bado kuna wanaume madomo zenge?
Emu nisaidieni shida yenu nini hasa? Au niwafundishe namna ya kutongo.za?
PM zimejaa plz
1. watatu1. Monica umefuatilia pm za wadada wangapi?
2. Halafu inamana wanaotongoza huko pm ni madomo zege?
3. Na isingekua hiyo pm mume ungempata?
4. Kitu gani kilikufanya kuja kutafuta mume huku JF?
1. Monica umefuatilia pm za wadada wangapi?
2. Halafu inamana wanaotongoza huko pm ni madomo zege?
3. Na isingekua hiyo pm mume ungempata?
4. Kitu gani kilikufanya kuja kutafuta mume huku JF?
NitarudiWewe umeishiwa
moniccca una mahusiano yoyote ni hizi ID?1. watatu
2.ndiyo hawana ujasiri mnapokuwa face to face
3.nisingempata
4.niliona nibadiri style tu
SijakuelewaNipo plzzzz