PM zangu zimejaaa

Teh teh..Mpendwa nimekoma kutongoza vitoto..Sasa huyu kumfwata tu pm anakuja kuanzisha uzi..Ningemgonga si angefanya press conference kabisa..

Ha ha ha mpendwa najua jina lako lipo make mme mwema atoka kwa bwana, ni nani hapa kama sio wewe
Hajatangaza kwa nia mbaya, yupo excited haamini kama Mungu angejibu maombi haraka kiasi hicho
 
😂😂😂😂😂alitoa na adress kabisa wakutane wazichape,jf raha sana wajameni

Ha ha ha yani yule jamaa alinchekesha kwakweli, maneno yake hayatoki kichwani kila nkikumbuka nacheka tu
 
Shukuru mungu mimi niliandika hapa kuwa natafuta mke sikupata PM hata moja
 
Kwa bahati mbaya wote hao walitaka wakufanye mchepuko.
 

Mbona umepanic vepeee...unadaiwa au? Huoni kama inakugharimu kuongea maneno yote hayo kwa mtu usiemjua...hivi una akili kweli 😂😂😂😂
 

Siku ukinijua live utatengua kauli yako..siku njema
 
Kuandika tuu hujui sasa nikikujibu si ntakua nakuonea...maana unaweza pia ukawa hujui kusoma..

Km sijui kusoma na kuandika na ww utakuwa huna akili maana ubongo wako unatafsiri kinyume nyume mtu kavaa nguo ww unaona yuko uchi.
Unashida na wachumba na umetangaza wamekuja ww unawaona mabazazi😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…