PM zangu zimejaaa

Weee mi ni mzuri haki vile sikufichii hahahahaa black hvo hvo ..afu nashangaa navoshushuliwa hukoo maana napewa makavu balaa..siku wakiniona watafuta kauli..hahahaha sijui natania?

unaboa balaa, ungekuwa na uzuri wa kifikra angalau ila huu uzuri mwingine haujakusaidia lolote.
 
 

Wewe tiara kweli xaxa kama uliomba mwenyewe unatuambia xixi ili Iweje?
 
Weeeeee sithubutu..maandishi yangu tuu yamewatoa mapovu leo..nikileta sura si mtanirarua kwa maneno..hzo credits mnazotaka kunipa wapare wanasema nahavache

Duuuuuh...kumbe Mparee???
 
Makurumbembe utayajua tu.

Kama kweli lengo lako ilikuwa ni kumuomba Mungu ili kupata mume ni nn kimekuleta kutangaza hapa?

Ungefunga umuombe kimyakimya ili akupe unachotaka.
Sasa ww kwa kuwa umekosa wanaume huko mitaan kwenu kwasababu umeexpire ndio ukaamua kuja kwa gia hyo.

Mvuto huna, halafu mbwembwe zmekujaa.
 
Wapuuzi na Washamba wa Mapenzi ndio hukurupukaga kwa wanawake wa aina Yako..... Lakini mwanaume mwenye akili angejiuliza kwanza kwanini mpaka muda huu hujapata mwanaume? Wakati mwingine wanaume tunawapa sifa wanawake wasiostahili kabisa mfano wako
 
Tabia Imekuwa Determine na lugha uliyotumia.Nanukuu "PM ZANGU ZIMEJAA"WHat the hell.
 

Nafikiri kwenye post yako unge clarify kuwa you are happily single .....
Post yako hapo juu haikuwa na haja uless kama you are below twenty ....you sound so by the way... kwa kuwa mtu matured hangekuwa na haja ya kuandika hayo....
 
Haya mjitu yajifanya yanataka waume ni ma account fake ni Ma mazazi wa humuhumu na multi ID's kwa hiyo msio mnapata tabu ndo hao hao akina cindymopao
 
Last edited by a moderator:
Great thnkers msameheni huyu Dada...kwasababu angekuwa mjanja wala asingebishana na vichwa vyote hivi usiku kucha...inaonesha hata akipata nyumba yake si mwepesi wa kung'amua kosa nakuomba msamaha..zaidi ya yote itakuwa ubishi usiku wote...naamini amejifunza kutofautisha vitu vya msingi na mzaha..na ninyi JFs nilisha waambia na hata jana kuna uzi naoendelea kuhusu Mwanamke mmoja kumtumia House boy kumnanihii mumewe....ACHANENI NA WANAWAKE WA KLM...hao mpaka mbinguni wanajulikana!!?????
 
Ungepata PM moja bado ungekuja kulalamika na kutunga ya kusema watu.

Kuna ka tabia fulani unakaonyesha jirekebishe hautafaaa wengi wao labda waio na choisi.

kwa mtindo huu usalama wa pm zetu upo kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…