Aiseee wana jf humu ni kiboko..yan usithubutu kusema u are single watakua wageni wako wa ghafla huko kwenye pm..yan jana nimeongea swala la kumuomba Mungu anipe mume 2016,nimepata waume wema kibao huko kwenye pm yan mtu anajiexpress hadi unabaki kucheka...ni nini kuniletea jam huko..afu wana confidence haoo 😂😂😂 hahaha....wengine kwa text tuu mnaonyesha mlivo mabaazazi kabla hata ya kuwaona...ila ngoja tuu niwatakieni wikend njema.
ANGALIZO :hii thread nimeandika nikiwa kwenye good mood,happy na utani kidogo..sasa kuna watu ni maarufu kwa kuharibu moods za watu na negative comments zao..plz ukiona huelewi pita kimya kimya coz there is nothing serious hapo.