Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nlikua najibu quote ya mtu mwingine sio wewe, thread itachangiwa tu as long as imepostiwa hapa
Unajua boya ni yule anaetaka kumjua boya mwenzie...unajua nn sijazoea lugha chafu mdomon ila naweza kujifunza kwa ajili yako..afu jaman leo nna mood tukeshe basii...
Ha ha haa we unatumia njia ngapi kwenda kwako?
Ataipata tuMimi mwenyewe nilimshangaa alivyoijibu nikasema huyu sio bure ana lake hapa tu. Anaonekana yupo boring anatafuta publicity.
Hii thread haito dumu hii kesho itakuwa kama vita ya tatu ya dunia...!
Nasubiri kuona watu wanaambia wakutane wazichape hadharani
Basi vita vya tatu vya dunia vyaja....kwa heshima na taadhima mi naomba tukutane tuzichape 😂😂😂😂
Eti lilymashy nawewe rangi ako ni km apo kwa avatar yako, au yako ni tofauti?
Basi vita vya tatu vya dunia vyaja....kwa heshima na taadhima mi naomba tukutane tuzichape 
Weee mi ni mzuri haki vile sikufichii hahahahaa black hvo hvo ..afu nashangaa navoshushuliwa hukoo maana napewa makavu balaa..siku wakiniona watafuta kauli..hahahaha sijui natania?
Karibu tena!
Mwanamke unatakiwa uwe na kifua cha uvumilivu na kutunza siri kubwa na ndogo.
Weee mi ni mzuri haki vile sikufichii hahahahaa black hvo hvo ..afu nashangaa navoshushuliwa hukoo maana napewa makavu balaa..siku wakiniona watafuta kauli..hahahaha sijui natania?
Kazichape na ukuta mie sina nguvu wala
Dada lilymashy mzuri hajipimi bali huonekana na watu unless otherwise utuletee humu photo yako tukupe credits
Weeeeee sithubutu..maandishi yangu tuu yamewatoa mapovu leo..nikileta sura si mtanirarua kwa maneno..hzo credits mnazotaka kunipa wapare wanasema nahavache