PM zangu zimejaaa

PM zangu zimejaaa

Eti lilymashy nawewe rangi ako ni km apo kwa avatar yako, au yako ni tofauti?
 
Last edited by a moderator:
Nlikua najibu quote ya mtu mwingine sio wewe, thread itachangiwa tu as long as imepostiwa hapa

Mimi mwenyewe nilimshangaa alivyoijibu nikasema huyu sio bure ana lake hapa tu. Anaonekana yupo boring anatafuta publicity.
 
Unajua boya ni yule anaetaka kumjua boya mwenzie...unajua nn sijazoea lugha chafu mdomon ila naweza kujifunza kwa ajili yako..afu jaman leo nna mood tukeshe basii...

Mh jaman wew mbona mi sijatumia lugha mbofu
 
rubii apo umemp ukwel wake kabisa

Afu mbona sijapewa huo ukweli au nimeshikiwa na mtu mwingine..mwambie basi anipe ukweli wangu nisepe nao...unajua ww ...... au ngoja ninyamaze tuu
 
Aggggrrrr sihitaji ushauri wowote mie wa kushauriwa labda wewe

Basi vita vya tatu vya dunia vyaja....kwa heshima na taadhima mi naomba tukutane tuzichape 😂😂😂😂
 
Eti lilymashy nawewe rangi ako ni km apo kwa avatar yako, au yako ni tofauti?

Weee mi ni mzuri haki vile sikufichii hahahahaa black hvo hvo ..afu nashangaa navoshushuliwa hukoo maana napewa makavu balaa..siku wakiniona watafuta kauli..hahahaha sijui natania?
 
Last edited by a moderator:
Weee mi ni mzuri haki vile sikufichii hahahahaa black hvo hvo ..afu nashangaa navoshushuliwa hukoo maana napewa makavu balaa..siku wakiniona watafuta kauli..hahahaha sijui natania?

Dada lilymashy mzuri hajipimi bali huonekana na watu unless otherwise utuletee humu photo yako tukupe credits
 
  • Thanks
Reactions: Art
Weee mi ni mzuri haki vile sikufichii hahahahaa black hvo hvo ..afu nashangaa navoshushuliwa hukoo maana napewa makavu balaa..siku wakiniona watafuta kauli..hahahaha sijui natania?

Njoo pm basi lily, nakusubiri huku, fanya haraka kwa kweli.
 
Umelipia tangazo lakin. Eti pm imejaa sasa ulitakaje labda!!! Mbona kuna watu wanasumbuliwa sana ila wapo kimya.

Ulimbukeni kazi kwel. Ama hujawah tafutwa?
 
Dada lilymashy mzuri hajipimi bali huonekana na watu unless otherwise utuletee humu photo yako tukupe credits

Weeeeee sithubutu..maandishi yangu tuu yamewatoa mapovu leo..nikileta sura si mtanirarua kwa maneno..hzo credits mnazotaka kunipa wapare wanasema nahavache
 
Njoo pm basi lily, nakusubiri huku, fanya haraka kwa kweli.

Naja fasta....ofa maalum :Utakua wa kwanza kuniona live afu utakuja kuwaadithia..afu uone kama nadeserve ol this shits....
 
Weeeeee sithubutu..maandishi yangu tuu yamewatoa mapovu leo..nikileta sura si mtanirarua kwa maneno..hzo credits mnazotaka kunipa wapare wanasema nahavache

Hahaa umeonaeee Kwanza hata hiyo picha yenyewe waweza jichanganya ukaleta ya mrembo wa nigeria ukasema ni wewe ati!
 
Back
Top Bottom