PM zangu zimejaaa

PM zangu zimejaaa

Kungwi nimekutumia buku kwenye tigo pesa niunganishe na darasa la leo

sawa mwali wangu... uchukue na namba ya huyo bondia wa kike anayetangaza ngumi uwanja hana umlete kule akapigane
 
Ha ha ha dala kwa maneno haya hadithi nmehisi nawe upo kwenye foleni, nmecheka mie lol

Hahaha! Mzee mimi wala sipo kwenye list sema nilisoma bandiko lake la kumuomba Mungu ampe mume alafu tena anakuja na utumbo huu nimemind kinoma
 
Pole sana hila ww mwenyewe ulionyesha nia ya kuwahitaji so c vibaya nao wameitikia wito
 
Hahaha! Mzee mimi wala sipo kwenye list sema nilisoma bandiko lake la kumuomba Mungu ampe mume alafu tena anakuja na utumbo huu nimemind kinoma

Mie nahesabu tu idadi ya waliokwenda pm, teh teh teh teeeh!!
 
duh wanawake bna!!!!!!!

Wanawake achana nao, akili zao wanazijua wenyewe.

Mtu atangaze mwenyewe anataaka kuolewa,afuatwe na hao waoaji tena alalamike kwa nini wanamfuata,alitangaza ili iweje?

Plato alipata kusema kwamba hapa duniani kuna maajabu makubwa mawili au mikosi mikibwa miwili, ya kwanza ni kifo ya pili ni kuzaliwa mwanamke.
 
Mwe! Hiyo mikosi balaa.
 
Back
Top Bottom