Point za madaraja - Matokeo ya form four yako kisiasa zaidi

hii ni moja ya utekelezaji wa mpango wa matokeo makubwa sasa au kwa lugha ya wakoloni big results now!!


''hongera CcM''
 
waacheni watanzania bado ni wakumbafu sana
 
Hili ni bonge la bomu, umefanya kitu kizuri yaani una CONCRETE example, nmeona watu wanalalamika kuhusi hili ila nikawa nahisi ni uzushi tu, MUNGU wangu kwa hali hii inabidi kufanya mabadiliko yakinifu.
 
Kiukweli hali hii inatisha, Elimu inaenda wapi? Nani mwenye uchungu nayo? Kaimu mkurugenzi wa baraza la Elimu alisema ufaulu umeongezeka wakati ukiangalia kiukweli ufaulu umepungua sana, ikumbukwe Div 3 imerefushwa na hata mpangilio haueleweki, waliofaulu kihalali ukilinganisha na mipangilio ya zamani ni walio na Div-I & II maana kwa sasa II ni kuanzia point 18 - 24 wakati kwa zamani point 25 ilikuwa III ya mwisho. So kwa watakao onekana kwenda A-Level na vyuo mbalimbali kihalali ni wanafunzi 29,307 sawa na asilimia 8.32, Je taifa tunaenda wapi kwa namna ya haraka ni asilimia 10 tu ya wanafunzi ndio wamefaulu na asilimia 90 wamefail kwa Div IV na zero! INAUMA SANA! MABADILIKO NDANI YA NCHI YANAHITAJIKA LA SIVYO TUMEKWISHA!
 
Walimu wenyewe wa siku hizi majanga tu, hawana lolote, kazi kudai mishahara tu utadhani wabunge wa bunge la katiba. Lakini kazi hawawezi, bure kabisa hii

kichwa yako ni mbovu kabisa eewe jamaa
 
Wapi buku 7 academia?ritz,msalani,ff,taswira aka frist class,nnauye jr,nsuki nk?
 
Acha ujinga wewe bila ya mwalim unge weza hata kuingia Jf na kucoment? Naona hujtambui
Walimu wenyewe wa siku hizi majanga tu, hawana lolote, kazi kudai mishahara tu utadhani wabunge wa bunge la katiba. Lakini kazi hawawezi, bure kabisa hii
 
Acha umburula mtoa mada kuwa makini naona hata wachangiaji wengi wameshindwa kuthink big. Kuna kitu kinaitwa Penalty au sio, hususani ukifeli Mathematics.
 
Serikali imeamua kuua,nimekaa nikajiuliza mbona top ten ya shule na wanafunzi sioni tena yeyote kutoka zile shule za vipaji maalumu wakati ndo wao waliokuwa wanachomoza sana,kulikoni leo shule hizi za serikali? serikali imeamua kuua shule za umma kwasababu wao wanamiliki privates na watoto wao ndo wanakosoma huko

Hili Taifa sasa linafall down completely.. heko CCM!
 
Wela wela asiye na mwana aeleke jiwe, waliofaulu ni 10% tu amini usiamini
 
Acha umburula mtoa mada kuwa makini naona hata wachangiaji wengi wameshindwa kuthink big. Kuna kitu kinaitwa Penalty au sio, hususani ukifeli Mathematics.

Si kweli, wewe ndo hujui, penalty inaathiri daraja la kwanza na la pili tu! Mtoa mada kazungumzia zaidi daraja nne na sifuri.
 
Walimu wenyewe wa siku hizi majanga tu, hawana lolote, kazi kudai mishahara tu utadhani wabunge wa bunge la katiba. Lakini kazi hawawezi, bure kabisa hii


Hizo div I zilizopatikana umezileta wewe na bibi yako? Walimu amkeni mnaona mnavyotukanwa na wapuuzi hawa? Msiibebe CCM tena walimu. Shukurani ya punda ni mateke.
 
79 % ya waliofanya mtihani wamepata division 0 na IV. Ina maana 21% ndo waliofaulu kuweza kumudu kuchaguliwa kuendelea A-level na vyuo vingine. Hili ni jambo la kutafakari
 
Ufaulu unakuaje wakati ni watahiniwa 21% tu waliofaulu na kati ya hao 7.9% ni div 1 and 2
 
Leo PM alikuwa analalamika kwa nini Shule za Jumuiya ya Wazazi ya CCM hawapasi kama private schools zingine. Please mwenye kujua sababu twaomba aziweke hapa jf ili baadae tumfikishie PM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…