Kasabampungati
Member
- Apr 17, 2013
- 22
- 4
ok,lakini specifically niangalie mwanafunzi gani au sehemu gani!
fungua matokeo ya hii shule uone maajabu point 42 ni zero at the same time ni four then 43 ni four,s00605/
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ok,lakini specifically niangalie mwanafunzi gani au sehemu gani!
Asante mdau kwa kuliona hili.Nimeona kuna na B+,E haaaa haaa kama vyuo vikuu vile.Naomba serikali irudishe mfumo wa Zamani hii "DILUTION" ya ALAMA si nzuri hata kidogo kwa nchi yetu.
sasa Mama Mdogo,kwani hata kama angekuwa hajaenda secondary ndo apate 4 ya 43!au wanaogopa kuwawekea ziro!eti ziro ina athari kisaikolojia!Wewe naona bado uko ki-analogue, hamia digitali, nenda: www.necta.go.tz
Hiyo divisheni 4 ya 43 ni sawa hajaenda sekondari, ni darasa la saba huyo. Ukiangalia kwa makini waweza kuta ndio hao waliopelekwa Form I kkwa nguvu za kisiasa huku hawajui kusoma wala kuandika. Namis mtazamo wa Elimu ya Kujitegemea wa Mwalimu Nyerere.
Hivi hawa baraza la mitihan (NECTA) wametuona sisi watanzania ni wajinga kiasi cha kwamba wanatuganya waziwazi namna hii!
Yaana wanadriki kutuambia asilimia ya ufaulu umeongezeka kwa asilimia 15.kwa kulinganisha na ufaulu upi?
Ina maana ufaulu wa sasa wa mwanafunzi kuwa na DIV -IV -42 ndo wanataka waulinganishe na ule wa mwaka jana ambapo mwenye div -iv-34 ilikuwa ni ziro?
Na kama A ya mwaka jana ilianzia na 81 ndo wame compare na A ya kuanzia 71!?
Sasa kama ni hivyo basi watangaze sis tuliosoma miaka ya nyuma turudishe vyeti vibadilshwe kwendana na ufaulu wa sasa.
Mm acha nipite tu maana nina hasira mbaya. yani kama ndo sasa iv mm ningekuwa na 1.7 kama vipi turudishe vyeti haiwezekani.
tunaanza lini kurudisha?mana namimi ilibidi niwe na 1 ya 8
..............................1. In a division sum, the divisor is 10 times the quotient and 5 times the remainder. If the remainder is 46, the dividend is: *
4236 4306 4336 5336
2. If 1.5 x= 0.04 y, then the value of (y-x) (y+x) is: * One equation with two unknown??
730/77 73/77 7.3/77 703/77
naomba majimu ndgu zangu,
natanguliza shukran zangu kwa wote
sasa Mama Mdogo,kwani hata kama angekuwa hajaenda secondary ndo apate 4 ya 43!au wanaogopa kuwawekea ziro!eti ziro ina athari kisaikolojia!