Poland imeshtuka kuingizwa mtegoni na Marekani Vita ya Urusi na Ukraine

Wazee wa vita? Niambie ni vita gani USA alipigana akashinda? Usiniambia mambo ya libya tafadhali.
Kingine kinachoendelea Ukraine sio vita, ni special military operation, sio mimi nasema ila ni putin Putin kasema, na limeungwa mkono na baadhi ya wadau muhimu kutoka duniani. Wanasema nguvu iliyotumika ni kdg sana kulingana na uhalisia wa Urusi.

Cha mwisho kila taifa lina masilahi yake, ukicheza unapotea. Ukraine kaingizwa mkenge na wahuni sasa ngoja tuone atajificha mpaka lini.
 
Wewe ndie mwerevu?
 
Hapo Putin anajazwa ili aendelee kufirisiwa. Marekani ni mjanja sana, anataka vita isiishe mapema ili mrusi afirisike.
Hii pumba umeandika hapa inahusiana vp na Poland kukataa kupeleka ndege yenyewe Ukraine? Kama ingekuwa urusi ni mrahisi hivyo si NATO wangempiga tu chap na kumuwekea vikwazo juu!
 
Wewe ndie mwerevu?
kama sio wewe nini mimi ukiwa na akili timamu huwezi unga mkono huo uvamizi hakuwa na uhalali wa kuvamia kwa sababu nyepesi hivyo ameingiza nchi yake kweny anguko la uchumi amepoteza wanajeshi pia vifaa na bado wiki ya pili hakuna alicho fanikisha....
 
Tanzania yenye Kila aina ya resources tuko wapi mzee??


Nchi yenye utajiri wa resources lukuki lakini inazodiwa uchumi na South Korea yenye resources za kuungaunga!![emoji3][emoji3], Kama sio ukichwa maji ni nini?! Hiyo nchi nikiiongoza Mimi itakuwa na uchumi kuliko nchi zote za ulaya na Japan.
 
Hii pumba umeandika hapa inahusiana vp na Poland kukataa kupeleka ndege yenyewe Ukraine? Kama ingekuwa urusi ni mrahisi hivyo si NATO wangempiga tu chap na kumuwekea vikwazo juu!
Anapigwa na kaUkraine tu, hakuna haja ya kuua Mende kwa nyundo.
Nakupa pole kama umeshindwa kuhusanisha hiyo comment na mada.
 

Dalili za mtu asiyejielewa ni kutumia matusi yani hata kusoma maneno yako watu tunashindwa kitendo cha kuongea point unaweka na matusi tyr ni pointless
Badilika aisee
 
Ila wee jamaa !!! [emoji1][emoji1][emoji1]
Biden alimwambia Putin hajui kilichoko mbele yake, maana yake anajazwa anaingia kichwakichwa akija kushtuka uchumi 0. Na sisi donor country Tanzania atatupigia salute ili tumpe misaada[emoji2][emoji2]
 
Hapo Putin anajazwa ili aendelee kufirisiwa. Marekani ni mjanja sana, anataka vita isiishe mapema ili mrusi afirisike.
Ndio maana ngwaji boy alipowambia ule mkono sio wake waumini wakaamini. Yani ukiwa na imani hata umfumanie mchungaji juu ya kifua cha muumini akiwa mtupu utasema alikuwa anamfanyia massage.
 
Nadhani ni muda viongozi wetu wa Africa kwa ujumla wajenze uwezo wao w kujilinda wakishirikiana n Russia ,siyo Russia itulinde hapana tuwe na uwezo wa kujilinda wenyewe. Halafu wazawa wapewe fursa za kibiashara uone kama Western countries hawatapata shida. Ni hatua ya muda ila inawezekana. Mengine nisingependa kuyaandika hapa
 
Endelea kuota.. hujui kijeshi Urusi ana nguvu kama marekani au zaidi. Na ndo maana inabidi marekani atafute washirika NATO ili aweze kumkabili urusi mwenyewe
Lakin hana uchumi kama Marekani.
 
Wewe mama wakati marekani na NATO wanaishambulia libya ulikua hujazaliwa nn!
 
kwa hiyo nisikilize propaganda zako!!
Khe! Kumbe kiuchumi pia Russia yuko juu ya US[emoji2][emoji2][emoji2] warusi Koko buana!![emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…