kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,375
- 4,893
Wazee wa vita? Niambie ni vita gani USA alipigana akashinda? Usiniambia mambo ya libya tafadhali.Na wewe upo Akili za Putin 1938 .Hii ni 20s new generation hamna vita ni ushamba tu wa Putin .Poland ni vijana Sasa Huyo rais wa ukraine 44 years old mtoto mdogo tu anamtoa jasho Putin .Putin na majeshi yake Huyo Zellensky anamchezea Putin mchezo wa catch me if you can .Wazee wa vita hata USA wapo hoi Zellensky anawaambia lete hiki wanapeleka .Na vijana wanakumbilia ukraine [emoji1255] kupigana
Kingine kinachoendelea Ukraine sio vita, ni special military operation, sio mimi nasema ila ni putin Putin kasema, na limeungwa mkono na baadhi ya wadau muhimu kutoka duniani. Wanasema nguvu iliyotumika ni kdg sana kulingana na uhalisia wa Urusi.
Cha mwisho kila taifa lina masilahi yake, ukicheza unapotea. Ukraine kaingizwa mkenge na wahuni sasa ngoja tuone atajificha mpaka lini.