Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Ninyi watu wa Bara Giza mnajuaga Wazungu wao hawapendi wala hawakuli unga, si ndiyo?Walinzi 100 ni wengi sana, huenda Poland wamehisi kuna wabeba unga miongoni mwao. Africa Kusini limekuwa taifa la hovyo sana.
Ingekuwa mie ndiye Ramaphosa, kabla hata sijafika SA, hao walinzi wote kazi hawana. Sasa wanalinda nzi? Rais wao akiuawa, watajibu nini? Shame! Mnazuiwaje kwa mfano?
Wametudhalilisha sana Afrika. It means hawakuzungumza wakaelewana before waanze safari? Kwa nini Poland isione kwamba huo ujumbe wa Afrika ni kwa ajili ya maslahi na usalama wa Ukraine na Ulaya nzima?
Mfaransa alivyokuwa akijitutumua kukimbilia kwa KGB Putin hukuona?Mkuu pata upande wa pili wa story, Poland ni pro Ukraine na president CR ni pro putin, ni upuuzi kwa upande wa CR kwenda huko wakati hayupo neutral, 3 other African presidents wamekataa kwenda kwenye ule upuuzi
Huo ndio ushamba wenyewe, mkuu. Mimi nikajua walikwidwa, then wakapigwa mitama, mihindi na michina! Kumbe walitishwa kwa maneno tu?Unadhani wanazuiwa Kwa mikono,la ashaa,ni ndege ndio inanyimwa Mawasiliano
Akili na mawazo haya ni aibu kwa Waafrika na uafrika achilia mbali ubantu.Walinzi 100 ni wengi sana, huenda Poland wamehisi kuna wabeba unga miongoni mwao. Africa Kusini limekuwa taifa la hovyo sana.
Nenda na unga kwenye Airport zao kama pale US uwauleze hivyo DEA.Ninyi watu wa Bara Giza mnajuaga Wazungu wao hawapendi wala hawakuli unga, si ndiyo?
Walinzi mia moja wa nini, hao wakae hapo mwisho wa siku warudi nyumbani. Hakuna mwenye nia ovu na Ramaphosa.Mzozo wa kidiplomasia umeibuka baina ya nchi ya Poland na Afrika Kusini kwa kile kinachodaiwa ubaguzi wa rangi na mkuu wa kitengo cha ulinzi wa Rais Ramaphosa.
Kundi la walinzi zaidi ya 100 wa Rais Ramaphosa wakiwa kwenye ndege ya shirika la SAA wamezuliwa isivyotarajiwa na Mamlaka za Poland kuendelea na safari.
"...wametuzuia hapa hakika wanahatarisha usalama wa Rais ( Ramaphosa). Nataka muone walivyo wabaguzi wa rangi!"
Ramaphosa yupo Ukraine bila ulinzi mahsusi.
BBC
Drones za Shaheed zinatoka wapi?Toka kule asee! Russia hajawahi kununua wala kuazima silaha kutoka kokote. Wake up! Anachofanya yeye ni kujenga na kuimarisha urafiki na mataifa mbalimbali ambayo Marekani amewatisha muda mrefu.
Anatumia muda huo ku-test mitambo na silaha za nchi husika, then washamba wanadai kwamba ameuziwa au amepewa msaada.
Huyo sniper apite wapi?Hapo Puttin angekuwa ananisikiliza angetuma Sniper wamdunguwe Ramaphosa ili kuwachonganisha hao mabwana.
Huyo si anasupport USSR?"...wametuzuia hapa hakika wanahatarisha usalama wa Rais ( Ramaphosa). Nataka muone walivyo wabaguzi wa rangi!"
Ramaphosa yupo Ukraine bila ulinzi mahsusi.
BBC
Mkuu hii ni International Forum, tutolee uchafu wako hapa, peleka huko Lumumba.Sina mbavu kabisa [emoji1787][emoji23][emoji28]
Sijuwi tunawandekeza hao wa Nini.
JPM OYEEEE
Rais wa hovyo kuwahi kutokea.Mkuu pata upande wa pili wa story, Poland ni pro Ukraine na president CR ni pro putin, ni upuuzi kwa upande wa CR kwenda huko wakati hayupo neutral, 3 other African presidents wamekataa kwenda kwenye ule upuuzi
Wewe umepimaje hilo?Rais wa hovyo kuwahi kutokea.
Hana ushawishi ndani wala nje ya nchi yake.
Anakenua tu
Sawa nawe pia..Mkuu hii ni International Forum, tutolee uchafu wako hapa, peleka huko Lumumba.
Toka apogee Urais, uchumi wa SA haujawahi kukua zaidi ya 2%,unemployment rate almost 38%,crime rate hasa mauaji, scams, yameongezeka mno, uhusiano wake na nchi za kiafrika umeathirika mno, SA inayumba mno kibiashara including AGOA ,zar against top currencies duniani ipo kwenye free fallingWewe umepimaje hilo?