Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Kwenye Msafara wa Rais wa Afrika (Cyril Ramaphosa)
Akielekea jijini Kyiv kama sehemu ya viongozi Saba (7) wa Afrika ambao wanakwenda nchini humo kwa ajili ya Mazungumzo ya amani,
Ndege ya Rais wa Afrika Kusini ilizuiwa kupita kwenye anga la Italia, kitendo kilichopelekea kukaa hewani kwa muda mrefu,
Kisha wakafanya maamuzi ya kushuka kwenye uwanja wa ndege wa Poland kwa dharura.
Walipotua nchini Poland,
Walilazimika kukaa ndani ya ndege kwa zaidi ya Saa 9 huku silaha za walinzi wa Rais Ramaphosa zikichukuliwa na askari wa Poland japokuwa walikuwa na vibali vyote.
Chanzo cha kutokea kwa haya yote ni kwasababu ya Ushirikiano uliopo baina ya taifa la Afrika Kusini na Urusi.
Hii ndo dunia ambayo tunaishi, na huo ndo ukweli ambao wazungu wamekuwa wakiuficha kwa miaka yote.