Fafanua vizur mkuu
Ni kwamba ile security unity yoote iliokiwa stranded poland hata mwana nae (Russia) kagoma isitue kwake irudi ilipotoka, lakinii yaan Ramaphosa anatembea na walinzi 120[emoji119][emoji119]
South Wameshatoa Tamko lao muda tu mrefu, kama wewe sio muelewa wala hutaelewa.Upo brainwashed na sikulaumu, systems ndio imeleta uozo huu, na for your information bunge la SA lilitoa tamko la pro Russia, unapoandika humu elewa sio wote ni mazuzu
Malema he is a puppet, siwezi kumsikiliza mimi sio zuzu, huwezi kupigania wanyonge wa Kwa Mashu na end of the day unaenda kujificha kwa wazungu wa sandton, why asiishi na wanyonge wake pale Nyanga?,mkuu you can do better than this, serikali ya ANC ni pro Russia, then iwe neutral kwenye vita?acha upumbavu huu mkuu, na ile meli pale Simon Town ilikua inapakia nini kupeleka Russia?,mkuu ninafuatilia mno hii vita na mambo haya hasa hapa Africa, karibu lingusenguse nikupe ulanzi na uongee na wandendeule hawa wa std 7,wapo sharp kuliko wengi wetu humu JFSouth Wameshatoa Tamko lao muda tu mrefu, kama wewe sio muelewa wala hutaelewa.
South Africa ni Ally wa Russia, ila kwenye hio vita wapo Neutral, huo ndio msimamo wao. Mpaka viongozi wa Upinzani wanaopinga serikali wana muono huo huo. Sikiliza Hotuba na mahojiano mbalimbali ya Malema.
Hakuna Aliekataa kwamba ni Pro Russia wao pia wanajitangaza ni Ally wa Urusi, ila kwenye hii Vita wame Abstain hata UN hawakumpigia kura Urusi wala Ukraine.Malema he is a puppet, siwezi kumsikiliza mimi sio zuzu, huwezi kupigania wanyonge wa Kwa Mashu na end of the day unaenda kujificha kwa wazungu wa sandton, why asiishi na wanyonge wake pale Nyanga?,mkuu you can do better than this, serikali ya ANC ni pro Russia, then iwe neutral kwenye vita?acha upumbavu huu mkuu, na ile meli pale Simon Town ilikua inapakia nini kupeleka Russia?,mkuu ninafuatilia mno hii vita na mambo haya hasa hapa Africa, karibu lingusenguse nikupe ulanzi na uongee na wandendeule hawa wa std 7,wapo sharp kuliko wengi wetu humu JF
Means kwako unaona it's ok ,President anapoteza 20M zar kwa upuuzi huu, ndio maana royal families zitawaburuza sana mazuzu kama wewe, yaani poor of the poorest ndani ya nchi yangu unaweza kuongea mada zenye mantiki kuliko middle class kama wewe uliyejaa uoga, uongo, unafiki mkubwa, yaani Bunge litoe tamko la kuwa pro Russia then nchi iwe neutral!!huu ni upumbavu sio ujingaHakuna Aliekataa kwamba ni Pro Russia wao pia wanajitangaza ni Ally wa Urusi, ila kwenye hii Vita wame Abstain hata UN hawakumpigia kura Urusi wala Ukraine.
Hayo mengine ni wewe sasa na stori zako za vijiweni ama propaganda za mtandaoni.
Comprehension ni kitu adimu sana nchi hii.Means kwako unaona it's ok ,President anapoteza 20M zar kwa upuuzi huu, ndio maana royal families zitawaburuza sana mazuzu kama wewe, yaani poor of the poorest ndani ya nchi yangu unaweza kuongea mada zenye mantiki kuliko middle class kama wewe uliyejaa uoga, uongo, unafiki mkubwa, yaani Bunge litoe tamko la kuwa pro Russia then nchi iwe neutral!!huu ni upumbavu sio ujinga
Walinzi 100!? Hata Mimi ningeliwazuia?Hizi ndio aina ya habari zinakuacha na maswali badala ya kukuhabarisha.
Kwanini wamezuiliwa? Kwanini walinzi wa Ramaphosa pekee? Poland anaingia vipi kwenye safari ya ukraine?
Fuatilia tena kwann walizuiliwaIngekuwa mie ndiye Ramaphosa, kabla hata sijafika SA, hao walinzi wote kazi hawana. Sasa wanalinda nzi? Rais wao akiuawa, watajibu nini? Shame! Mnazuiwaje kwa mfano?
Wametudhalilisha sana Afrika. It means hawakuzungumza wakaelewana before waanze safari? Kwa nini Poland isione kwamba huo ujumbe wa Afrika ni kwa ajili ya maslahi na usalama wa Ukraine na Ulaya nzima?
Kwan kutest ndo ilikuwa mkakatai wa kuivamia ukraine na sio disarm ukraine?Toka kule asee! Russia hajawahi kununua wala kuazima silaha kutoka kokote. Wake up! Anachofanya yeye ni kujenga na kuimarisha urafiki na mataifa mbalimbali ambayo Marekani amewatisha muda mrefu.
Anatumia muda huo ku-test mitambo na silaha za nchi husika, then washamba wanadai kwamba ameuziwa au amepewa msaada.
Kwan alienda kupatanisha au aliend kumuomba Putin aache uvamiz wakeMacron ni pro-NATO kindaki ndani, sasa aliwezaje kujidai yeye ni mpatanishi wakati hayupo knew-TRO?
Fuatilia kwann walizuiliwa usipende umbeaAnaenda kuwasuluisha wazungu,matokeo yake unabaguliwa haha,,,ngozi nyeusi hazijifunzi toka kwenye msiba wa malkia hampendwi,wapo na nyie kwakua wanataka vitu kwenu,kwanza Afrika ina matatizo kibao badala yakukaa nchini kwako ujue jinsi gani ucontrol uuzwaji holela wa madawa na risasi maana ndivyo vinawaua raia wengi wa South Africa eti unaenda kuzurula nchi za walioamua kuharibu nchi zao wenyewe smh!
Mazingira hayafanan mkuuHuo ndio ushamba wenyewe, mkuu. Mimi nikajua walikwidwa, then wakapigwa mitama na mahindi! Kumbe walitishwa kwa maneno tu?
Walitakiwa kutumia nguvu kama ambavyo gaidi Marekani alitumia nguvu kuingia anga ya wenyewe kwenye Kisiwa cha Taiwan, Mchina akamsamehe bure hadi hapo baadaye.
Kwahiyo SA kuvunja makubaliano ya ICC ni sahihi ? Kikawaida ilibid Ramaphosa ashikwe kwa kuvunja mikataba ya ICCKwenye Msafara wa Rais wa Afrika (Cyril Ramaphosa)
Akielekea jijini Kyiv kama sehemu ya viongozi Saba (7) wa Afrika ambao wanakwenda nchini humo kwa ajili ya Mazungumzo ya amani,
Ndege ya Rais wa Afrika Kusini ilizuiwa kupita kwenye anga la Italia, kitendo kilichopelekea kukaa hewani kwa muda mrefu,
Kisha wakafanya maamuzi ya kushuka kwenye uwanja wa ndege wa Poland kwa dharura.
Walipotua nchini Poland,
Walilazimika kukaa ndani ya ndege kwa zaidi ya Saa 9 huku silaha za walinzi wa Rais Ramaphosa zikichukuliwa na askari wa Poland japokuwa walikuwa na vibali vyote.
Chanzo cha kutokea kwa haya yote ni kwasababu ya Ushirikiano uliopo baina ya taifa la Afrika Kusini na Urusi.
Hii ndo dunia ambayo tunaishi, na huo ndo ukweli ambao wazungu wamekuwa wakiuficha kwa miaka yote.
View attachment 2659900
Sovereign mwisho nchini mwako , hv nyiny pro Russia mna ttzo gan ? Unapokuwa kwenye anga la mwingine akikutilia mashaka ana haki ya kukushusha akukague , ni kawaida sana hata Ufaransa waliwai fanyiwa hivyo huko NigeriaLakini kidiplomasia ni halali kuzuia walinzi wa Rais wa nchi ambayo ina sovrein and autonomy yake?
WapoHuyo ambae hana upande ni nan akapatanishe?
Washirika wake wote ni wadau wa ushogaSubhanallah, kumbe wanaunga mkono ushoga!! Basi huyo zelensky akazie hapo hapo, na MZEE MZIMA MR VLADIMIR PUTTIN aache ushirika na nchi inayojihusisha na ushoga. Kwanza ikiwezekana wamlime kichwa tu huyo ramaphosa, kama ndio anaunga mkono ushoga aise wamlime tu.
Aleyommba gekke, usiku Mwema/Bhujiku ng'waka
Je SA ni sawa na USA ? Ndo nyiny mnaunga mkono Urusi kuvamia Ukraine kisa , USA ikivamia Iraq , watu wa hovyo sanaRAISI wa Marekani akija na Airforce one na migari kibao na msafara wa walinzi zaidi ya 400 sawa, ila wa Africa akiwa na 100 ni Nongwa.
Pia Africa kusini yupo Neutral kwenye huu Mgogoro
HahaaaaRais wa Marekani anawindwa na watu wengi sana hapa duniani, sasa nani ana haja yoyote na Ramaphosa?!
Ramaphosa hata akitembea hapa Kariakoo hakuna mtu atakayemjua atakayekuwa na habari naye.