Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ufafanuzi ameshautoa Poland. Soma tena ni kwanini anataka kuwa na NUKE.Hivi ni kwanin Europe wanamuona Urusi kama threat kubwa sana kwao? Maana NATO ni kwa ajili ya Urusi.
Base za marekani huko ulaya ni dhidi ya Urusi
Hizi nukes wanazoimba sasa hivi ulaya ni kwa ajili ya Urusi
Hii hofu yote inatokanas na nin hasa? Kuna mtu anaweza kunisaidia ufafanusi?
Marekani ndie kichaa wa kwanza na pekee kutumia silaha za maangamizi katika vita mbalimbali 1. Japan 2.VietnamNchi zenye au zilizowahi kuwa na communist ideology first ni dictatorship regimes hence zinaongozwa na "vichaa". Secondly, kichaa ni wa kwenda naye kwa kujihami vilivyo maana hujui next second ataamua nini.
Ukomunisti umekwisha anguka toka miaka ya 90 huko ulaya wana hofu ya kipuuzi no wonder marekani kayageuza makoloni yakeHii ni kutokana na Ukomunisti na vita baridi. Russia ilikuwa inalazimisha mataifa yote jirani yake kufuata sera za ukomunisti na udikteta, ilijenga hadi ukuta kutenga Ujerumani Mashariki na magharibi.
Brainwashed fellow.Nchi zenye au zilizowahi kuwa na communist ideology first ni dictatorship regimes hence zinaongozwa na "vichaa". Secondly, kichaa ni wa kwenda naye kwa kujihami vilivyo maana hujui next second ataamua nini.
Ukomunist ulikufa miaka mingi SANA. Hakuna nchi ya kikomunist hata Moja duniani kwa Sasa. Dunia yote inaongizwa na falsafa za kibepari.Poland hawataki tena kurudishwa kwenye Ukomunisti.
North KoreaUkomunist ulikufa miaka mingi SANA. Hakuna nchi ya kikomunist hata Moja duniani kwa Sasa. Dunia yote inaongizwa na falsafa za kibepari.