Poland yatoa mlio baada ya makombora kuingia ndani ya Anga lake

Poland yatoa mlio baada ya makombora kuingia ndani ya Anga lake

Kwanini poland hakuyatungua hayo makombora!??
Wewe yana Kasi kubwa Sana. Unaambiwa Patriots Wala hazitoi ishara ya kuyalipua. Ving'ora vinalia wakati yalishajipigia na wahusika wameshafika kwa Sir God.
 
Watu wakiambiwa Urusi dude kuubwa hivi hawataki kuelewa. We mtu ana mabomu ya kizazi kipya yenye kasi na mifumo ya ulinzi. Yaani bomu halafu Lina mifumo ya kujilinda lisitunguliwe.
Linakupiga na picha na kuzirejesha base husika kabla ya kukuua
 
Back
Top Bottom