Wewe yana Kasi kubwa Sana. Unaambiwa Patriots Wala hazitoi ishara ya kuyalipua. Ving'ora vinalia wakati yalishajipigia na wahusika wameshafika kwa Sir God.
Watu wakiambiwa Urusi dude kuubwa hivi hawataki kuelewa. We mtu ana mabomu ya kizazi kipya yenye kasi na mifumo ya ulinzi. Yaani bomu halafu Lina mifumo ya kujilinda lisitunguliwe.