cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cat kaja na mabaunsa ya kike na ya kiume halooo Arusha bangi tupu[emoji16][emoji16]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cat kaja na mabaunsa ya kike na ya kiume halooo Arusha bangi tupu[emoji16][emoji16]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ameeeen, mama mchungaji.Mpaka mume anakufa, talaka ilikuwa haijatolewa so ndoa ilikuwa haijafa, hata kama wenyewe walikuwa hawaitaki; kwa sababu kuna watu wanapeleka mashauri ya talaka huko, mwisho wa siku wanapatana ndoa inaendelea. Ndiyo maana mke amepewa haki zote za kumzika huyo mumewe; huo ndiyo Ukristo sasa.
Hili ni somo kwa kila mwanamke, usije ukaishi na mtu ambaye anaprocess talaka, ukajiachia ukafikiri wewe ndiyo mke, as long as talaka haijatoka; huyo bwana akifa, utafanya msiba kwa picha ya marehemu. Na kwa Ukristo talaka sio jambo jepesi la siku moja, so ukiwa na mwanaume wa aina hiyo, know your place mapema.
Imeshatoka tayari,HS usinambie Master j talaka imetoka? Lini?
Mbona juzi Kati anahojiwa na Zama alisema mke wake hataki talaka na wakifika mahakamani anasema bado anampenda Masterj[emoji849]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kumbe doh!
Ulimi does wonders.Kaka Laigwani kwa hali ile aliyoayo kwa miaka mingi labda alikuwa anakula kwa macho
Haijalishi amezikwa wapi, kwa nini mke aliyeachwa na marehemu analazimisha kuzika? marehemu alishamkataa akiwa hai ndoa iko wapi hapo? Kwanini ndugu wa Mumu wasizike Ndugu Yao wenyewe? hawa wanawake wanagombania pesa, Sheria za ndoa zibadilishwe kwenye ndoa kila mtu andike mali zake, hutaona haya maigizo ya wanawake
Wewe ni hawara unalazimisha kumzika hawara yako na huku anamke halali wa ndoa isitoshe wewe unawadhifa mkubwa nchini .
Kwelii hii niaibu hata kama unahaki njoo kiheshima omba upokelewe utoe heshima za mwisho tena kisiri unajionyesha hivi hii ni aibu kubwa sana .
Uwiii nimeshangaa sana hii ni aibuu .
Kupendwa ni heshima itoe kwa wale uliowakuta.
Jamani wanawake ifikie muda tujidhamini tujipende nakuogopa aibu.
Sasa kuku unaenda kuparamia famia ya,watu kuzika hawara yako hivi ukipelekwa mahakamani utazungumza kama nani.
Ulipewa vichapo vitamu ila hivyo vichapo vinamwenyewe.
Hii niaibuuu tupu.
Hujui tu wewe kufiwa na mume halafu vishetani vilete ufisadi sisi hii imetokea kwetu sema tunachoshukuru hawakuingilia mazishi ya baba yangu nilikuwa nimeapa nitambeba huyu mwanamke ni muweke kwenye jeneza wakaishi wotee.Kumbe jamaa alikuwa na haki kumwacha huyu mama, ni mbabe. Hakuwa na mapenzi ya kweli kwa mume wake. Huwezi kuwa katika majonzi ati unatupa ua. Haikubaliki hii, wanawake zetu mnajisahau sana
Kama binti nakuelewa mlivyo kwetu baba zenu na mnavyokuwa proud nasi. Namnataka tuwe karibu nanyi na ikitokea mchepuko mnakuwa na hasira zaidi hata ya mama zenu. Ila hujui mama zenu wanavyotutesa mpaka tunaenda kwa michepuko. Hujui na hutajua! Tuna experience binti ni ngumu ajabu. However polygamy is a matter of administration, Marehemu was too young to administerHujui tu wewe kufiwa na mume halafu vishetani vilete ufisadi sisi hii imetokea kwetu sema tunachoshukuru hawakuingilia mazishi ya baba yangu nilikuwa nimeapa nitambeba huyu mwanamke ni muweke kwenye jeneza wakaishi wotee.
Hujui tu kuishi na vimada wa baba yaani tokea nizaliwe napigania haki yangu mpaka huyo mzee akaja kufa
Hii ilimkuta Bibi, yaan mzee kahaangaika uko eti uzeeni anarudi kwa Bibi...tulimtoa baruHawa ndugu zetu huwa wanahangaika weeee ila wakishafulia na afya mgogoro ndiyo wanakumbuka wake zao wa ndoa. Washindwe
Kumbe ni mkurya...basi ndo maanaWakurya wabishi sanaaa tena mnoooo
Hawa ndugu zetu huwa wanahangaika weeee ila wakishafulia na afya mgogoro ndiyo wanakumbuka wake zao wa ndoa. Washindwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah wee dea, usinchekeshe lolHii ilimkuta Bibi, yaan mzee kahaangaika uko eti uzeeni anarudi kwa Bibi...tulimtoa baru
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app