Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

Yaani nilikuta mdogo wangu kaoa kichochoroni nilimtia makofi na kichamboo hana hamuu!!

Mimi tulikosana kabisa na mawasiliano yakaisha kwa miaka miwili,leo hii huwa ananishukuru kuwa niliinusuru ndoa yake,maana mke wake alihold on kwa kuona Mimi na Mama tumesimama nae,Kaka yangu akapuyanga wee mwisho wa siku amekuja tulia na Mke wake wa Ndoa.
 
Wadada wa kibongo ni issue sana kuwa nao katika mawasiliano, yaani wengi wao hawajitambui hata kidogo. Huyu Catherine si ni mbunge huyu na mtunga sheria, ona sasa anavyofanya mambo ya kijinga hadharani. Alikuwa nyumba ndogo ya Mh. Kagasheki, akamtema na sasa anaingilia ndoa ya mwanamke mwenzake. Very useless.

Hivi hawezi kukamatwa huyu na kupewa mwanamme wa kumuoa kwa lazima ili atulizane akili? Mh. Ndugai kanuni za kibunge zinasemaje kuhusu mbunge kicheche anayelazimisha kuolewa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
 
Hivi hawa wanawake wanaopewa viti Maalum huko CCM wanapatikanaje , mbona huyu Catherine Magige haonekani kuwa na hadhi ya ubunge ? Anagombea maiti ya Mume wa mtu ili iweje ?

Kuna video inazunguka huko mitandaoni hadi aibu , nitajaribu kuidukua ili mjionee wenyewe .
Umeona CCM tu je Chadema hao wa viti maalumu ni wanaume nini
 
Hawa ndugu zetu huwa wanahangaika weeee ila wakishafulia na afya mgogoro ndiyo wanakumbuka wake zao wa ndoa. Washindwe
Mimi tulikosana kabisa na mawasiliano yakaisha kwa miaka miwili,leo hii huwa ananishukuru kuwa niliinusuru ndoa yake,maana mke wake alihold on kwa kuona Mimi na Mama tumesimama nae,Kaka yangu akapuyanga wee mwisho wa siku amekuja tulia na Mke wake wa Ndoa.
Yani acha kabisa,tena unakuta tunasifia upande wa mchepuko kisa tu unapewa vijizawadi vidogo vidogo bila kujua unaharibu future ya ndugu yenu.
 
Yupo kwenye list ndio hadi dada zangu,wewe una ndoa tayari au ni mganga njaa kama Kase?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nasubiri uachike nijisogeze kwa mumeo.

Mana na we ndo wale wale tu

Juu ndevu chini bikini.
 
Ni mchumba wake na Pete kavishwa...na kakaa nae 2 yrs toka 2018

Sema Cat alizubaa sana ilitakiwa hiyo divorce iwe imeshatoka mapema sana, ndo imekula kwake, na kama alikuwa anafanya nae investments zozote sijui mwanaume anaandika majina yake.....hiyo ndo nitolee wife analamba vyotee maninaaa[emoji134]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Duuuuuh tobaaaah wee, lol
 
Back
Top Bottom