Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

Ujuha ni kuishi na mwanaume ambae hajakuoa, kwa masham sham na kujiona ni mumeo tayari, wanadada mbadilike, funzo sio kwa Cat peke yake bali kwa wanawake wote wanaoishi na wanaume bila kufunga ndoa.
 

Unaona sasa,huyu Shangingi Magige laana itamtafuna maisha yake yote. Uharibu Ndoa ya mwenzio,na bado ushindwe kuishi kwa uaminifu na huyo Bwana. Huyu si bure,nadhani alizitaka kwa udi na uvumba mali za Marehemu,na hata angemuoa wasingeishi muda mrefu,wangeishia kudivorce na kugawana Mali.
 
Kisu ufie jela kwa ajili ya mume aliehama nyumbani kwenda kuishi huyo hawara akiwa hai?.
Is it worth it?


ht kumfungulia kesi Cat utakuwa ni upuuzi

Kwenye kumfungulia kesi ni sawa kabisa,huwezi haribu mali za watu kisa ushangingi wako.
 
Duh!
Kwani marehemu Likwelile mkewe wa awali yu hai? Nilidhani alishakufa ndio akamuoa Vicky?

Inasemekana Mkewe wa kwanza wa Ndoa ya Kanisani yupo hai,huyu aliyekufa alikuwa ni wa pili nadhani pia ilikuwa Ndoa si ya Kanisani. Japo huyo wa kwanza kuachana na Mumewe sababu haikuwa Vicky ni Marehemu mkewe wa pili ambaye alikuwa ni Secretary wake.
 
Absolutely !!! That has led to more Unkonwns becoming Knowns !!!! It was painful and for both sides should have exercise calmness, retaining their grudness and stop being resentful to each other.
 
Ushangingi wapi

huyo ni mume wao
Mmoja ana cheti
Mmoja ana mume

wakikubali hilo watatulia

Na huyo Mume ndiyo kazikwa na mwenye Cheti,hata kumuona kwa mara ya mwisho kashindwa, usipokubali kuwa kuwa Kimada ni second option ya Mwanaume basi utatumika sana na mwisho wako utakuwa huo wa kudharirika. Na kwa sasa ndiyo asahahu,hakuna Mwanaume mwenye akili yake timamu atahubutu kuishi na huyu Cathe hata kwa miezi kadhaa. Sasa hivi atakuwa anagongwa kimya kimya tu.
 
Ila yote tisa ni km ana kinyota sijui
Na mauza uza yake yote akitoka bwana huyu anaingia yule
 
Kuna video clip nimeona huyo mbunge nyumba ndogo baada ya kufanikiwa kuingia, aliweka shada la maua juu ya kaburi but shortly after that akatokea mama mmoja, nadhani ni mke wa marehemu, akalichukua hilo shada la maua na kulitupilia mbali.... Aisee yaani bonge la aibuu
 
Wengine hawaangalii hilo awe kaolewa au hajaolewa kubwa kwake ni mke wa Kaka yake tu!

Mama yetu Mkatoliki pure alikuwa anasema,acha nisimame na mtoto wa Mwanamke mwenzangu ili na Mabinti zangu watakapokutana na haya majaribu wapate wa kuwatetea pia. Wadogo zangu wa kiume wana Ndoa zao kwa sasa na kila siku tunawakumbusha,mkipuyanga tu,kilichompata Kaka na nyinyi itakuwa hivyo hivyo. Thank God sote tumesimama katika Ndoa zetu,na tunashukuru sana Mawifi zetu wanamwangalia Mama yetu hadi raha japo yuko kwake.Kwa nini tusipiganie Ndoa zao akiingia Shangingi kama Magige
 
Si kweli, nina beberu moja bandani kwangu na majike 20, beberu linawagonga wote, sema kila mmoja na siku yake, halafu hawaoneani wivu... [emoji23] [emoji23]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa kweli wamama wengine wanawatesa wakamwana wao na kuharibu ndoa zao, ila wanataka mabinti zao wakiolewa ndoa zao zidumu, mama wakwe wakawatende mema. Apandacho mtu, ndicho atakachovuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…