Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Duh!
Kwani marehemu Likwelile mkewe wa awali yu hai? Nilidhani alishakufa ndio akamuoa Vicky?
Yupo hai mama wa watu akiishi kwa kubangaiza tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!
Kwani marehemu Likwelile mkewe wa awali yu hai? Nilidhani alishakufa ndio akamuoa Vicky?
usichukue upande wa mtu kisa ana hela.... huyu Cathy alikuwa rafiki yake mjane ndo akaanza kutoka na marehemu na ndio sababu ya divorce, mwanamke ndio alifungua shauri na hata divorce hearing ya wiki iliopota bwana alikataa kutoa divorce akisema anataka watengeneze na mke wake. cathy kamyanyasa mno huyo dada akiwa na mmewe, kamweka ndani na kampeleka polisi mara nyingi sana, kamtukana hata kwa kutumia simu ya mister na ndugu wote wanajua...mnachofanya mtandaoni sasa hivi mnajifurahisha nyie wenyewe kwani arusha nzima inamuelewa huyo mjane na wanajua Cathy ni mchafu mno .....halafu suala lingine..hivi mnajua kilochomuaa marehemu? Marehemu alimfumania Cathy Magige live....ndo kupata pressure na kurudi nyuma kutaka kurudiana na mkewe kabla mauti hayajamkuta...yani mtu kavunja ndoa yako umeishi nae unakuja kugundua umeharaibu familia yako sababu ya mtu ambae sio mwaminifu.Ndo mana familia nzima na ndugu wana hasira na Cathy mnaomtetea huyo bidada inawezekana nao ni wadangaji mama yete tu...
Kisu ufie jela kwa ajili ya mume aliehama nyumbani kwenda kuishi huyo hawara akiwa hai?.
Is it worth it?
ht kumfungulia kesi Cat utakuwa ni upuuzi
Ushangingi wapiKwenye kumfungulia kesi ni sawa kabisa,huwezi haribu mali za watu kisa ushangingi wako.
Mungu awabariki sana aisee. Tunaona huku hekaheka za mawifi, hatari sana
Hivi ni kweli wanawake hampendani?
Duh!
Kwani marehemu Likwelile mkewe wa awali yu hai? Nilidhani alishakufa ndio akamuoa Vicky?
Absolutely !!! That has led to more Unkonwns becoming Knowns !!!! It was painful and for both sides should have exercise calmness, retaining their grudness and stop being resentful to each other.Nafikiri Yule unae mpenda na kumheshimu anapo fariki kuna vitu vya kuzingatia kama kweli tulimpenda na kumheshimu...
Kwanza ni kutowazuia wanao mpenda wengine kuombeleza...
La pili ni kuhakikisha humletei aibu marehem wakati wa mazishi..
La tatu ni kuhakikisha Siri za marehem zinabaki kuwa siri..sio wakati wa kumvua nguo marehem..
Kama hayo yote yatazingatiwa basi sioni
Ni vipi Mke na mchepuko wanaweza anzisha vurugu wakati wa msiba..
Hivi ni ngumu Sana watu mnaochukiana kuzuia chuki zenu Kwa siku mbili mkamzika mnae claim 'mnampenda na kumheshimu'..halafu vurugu zenu zikaja
Kuendelea baada ya mazishi?
Ushangingi wapi
huyo ni mume wao
Mmoja ana cheti
Mmoja ana mume
wakikubali hilo watatulia
Wengine hawaangalii hilo awe kaolewa au hajaolewa kubwa kwake ni mke wa Kaka yake tu!Na sisi tumeolewa,tunajua uchungu na thamani ya Mume wa Ndoa.
Ila yote tisa ni km ana kinyota sijuiNa huyo Mume ndiyo kazikwa na mwenye Cheti,hata kumuona kwa mara ya mwisho kashindwa, usipokubali kuwa kuwa Kimada ni second option ya Mwanaume basi utatumika sana na mwisho wako utakuwa huo wa kudharirika. Na kwa sasa ndiyo asahahu,hakuna Mwanaume mwenye akili yake timamu atahubutu kuishi na huyu Cathe hata kwa miezi kadhaa. Sasa hivi atakuwa anagongwa kimya kimya tu.
Kuna video clip nimeona huyo mbunge nyumba ndogo baada ya kufanikiwa kuingia, aliweka shada la maua juu ya kaburi but shortly after that akatokea mama mmoja, nadhani ni mke wa marehemu, akalichukua hilo shada la maua na kulitupilia mbali.... Aisee yaani bonge la aibuuMsiba wa marehemu Kudula Madoda anayedaiwa kuwa mchumba wa mbunge wa viti maalumu Catherine Magige, umetawaliwa na vituko ya aina yake Mara baada ya Magige na kundi lake kuvunja geti ili kushiriki maziko ya marehemu baada ya kuzuiwa.
Marehemu Madoda amezikwa leo katika shamba lake eneo la Nduruma, ambapo katika mazishi hayo
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Grid ya umeme itaondoka na wengi
Si kweli, nina beberu moja bandani kwangu na majike 20, beberu linawagonga wote, sema kila mmoja na siku yake, halafu hawaoneani wivu... [emoji23] [emoji23]Hata mbuzi ana mume ..mume wa mtu Nini mbona alikuwa anaishi nae?
Wengine hawaangalii hilo awe kaolewa au hajaolewa kubwa kwake ni mke wa Kaka yake tu!
Ila yote tisa ni km ana kinyota sijui
Na mauza uza yake yote akitoka bwana huyu anaingia yule
Si kweli, nina beberu moja bandani kwangu na majike 20, beberu linawagonga wote, sema kila mmoja na siku yake, halafu hawaoneani wivu... [emoji23] [emoji23]
Kwa kweli wamama wengine wanawatesa wakamwana wao na kuharibu ndoa zao, ila wanataka mabinti zao wakiolewa ndoa zao zidumu, mama wakwe wakawatende mema. Apandacho mtu, ndicho atakachovunaMama yetu Mkatoliki pure alikuwa anasema,acha nisimame na mtoto wa Mwanamke mwenzangu ili na Mabinti zangu watakapokutana na haya majaribu wapate wa kuwatetea pia. Wadogo zangu wa kiume wana Ndoa zao kwa sasa na kila siku tunawakumbusha,mkipuyanga tu,kilichompata Kaka na nyinyi itakuwa hivyo hivyo. Thank God sote tumesimama katika Ndoa zetu,na tunashukuru sana Mawifi zetu wanamwangalia Mama yetu hadi raha japo yuko kwake.Kwa nini tusipiganie Ndoa zao akiingia Shangingi kama Magige