Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

Ila wanawake Mungu atusaidie na hili suala la kupigania ndoa
Mtu anakusaliti unasema karogwa unaomba htr
Life is not fair ujue
 
Wanaume wengine hapa mnamwaga povu sababu ubavu wa kumpata hakuna mnaishia kumla kwa picha poleni sana.

Anagawa kama pipi lakini hauna hela ya kununua hiyo pipi 😛
 
Ubavu wa kumlaza Cathy selo huna.

Kakuzidi kila kitu endelea kujifurahisha tu.
 
Tunaomba ushahidi wa Cathy kufumaniwa.
Acheni zenu.
Kuna watu wanamchukia tu bila sababu ya msingi hasa wenye ndoa zinazopumulia mashine.
 
Nimejaribu ku-google nikaona picha zake.... ahaa. Jamani nchi yetu imeoza. Watu wa aina hii wanafikaje bungeni? CCM wamefilisika kiasi hiki? Wabunge wa aina hii wanatoa ujumbe gani kwa kizazi cha kesho?
Hawa ni wabunge wa kupitisha miswada wakiwa wamesinzia
 
Aziza alikuwa na cheti kilichokuwa njiani kuchanika.
Cathy alikuwa na moyo wa Madoda.

Mke mbabe mpumbavu ndo maana liweza kuvunja ndoa yake.

Catherine kawaonyesha ushangingi wake haswa kawafunga midomo hakuwaogoa kufika msibani.
 
Wanaume wengine hapa mnamwaga povu sababu ubavu wa kumpata hakuna mnaishia kumla kwa picha poleni sana.

Anagawa kama pipi lakini hauna hela ya kununua hiyo pipi [emoji14]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
 
Pongezi sana kwa mama, ni jembe!
 
Hahaaa,mwenye cheti ndo kamzika!

Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
 
Kwa kweli wamama wengine wanawatesa wakamwana wao na kuharibu ndoa zao, ila wanataka mabinti zao wakiolewa ndoa zao zidumu, mama wakwe wakawatende mema. Apandacho mtu, ndicho atakachovuna
Yaani acha mama mkwe anataka kuwa sambamba na mkamwana, kama nikunuliwa kitu mwanaye aanze kwanza kumnunulia yeye jamani [emoji25][emoji25][emoji25]
 
Aziza alikuwa na cheti kilichokuwa njiani kuchanika.
Cathy alikuwa na moyo wa Madoda.

Mke mbabe mpumbavu ndo maana liweza kuvunja ndoa yake.

Catherine kawaonyesha ushangingi wake haswa kawafunga midomo hakuwaogoa kufika msibani.
Mhh si kwa kutetea huku. Inaonesha una details zao zote. Au ndio wewe Mhe, nini?
By the way, Angepambana kumwongozo spiritually huyo mwanaume mwendazake, mume wa mtu wakati wa uhai wake ningemwona wa maana. Lakini hayo mapambano ya kimwili, ushangingi sijui nini aliyokuwa anayafanya ni kushow off tu, hayamsaidii chochocte huyo mume mbele ya MUNGU. Hivi kumbe ushangingi ni sifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…