KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Ila wanawake Mungu atusaidie na hili suala la kupigania ndoaMama yetu Mkatoliki pure alikuwa anasema,acha nisimame na mtoto wa Mwanamke mwenzangu ili na Mabinti zangu watakapokutana na haya majaribu wapate wa kuwatetea pia. Wadogo zangu wa kiume wana Ndoa zao kwa sasa na kila siku tunawakumbusha,mkipuyanga tu,kilichompata Kaka na nyinyi itakuwa hivyo hivyo. Thank God sote tumesimama katika Ndoa zetu,na tunashukuru sana Mawifi zetu wanamwangalia Mama yetu hadi raha japo yuko kwake.Kwa nini tusipiganie Ndoa zao akiingia Shangingi kama Magige
Mtu anakusaliti unasema karogwa unaomba htr
Life is not fair ujue