Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

Mambo mengine ya ajabu sana, ila kuna kitu wanapambania siyo msiba......
 
Huyo ni muuza mbunye maarufu bungeni,istoshe jamaa alikua na mshiko n mkulima mzuri wa mbogamboga,alikua anaexport kenya n soko la ndani
At least nimepata kumjua muuza mboga maarufu anayegombewa hata mwili wake ukizikwa.
 
Kumbe ndiyo maana nchi inaenda kama gari bovu. Kama wabunge ni watu wa sampuli hii tutegemee nini kutoka bungeni? Na hapo hujaweka kina Msukuma, Gwajima, Kibajaji, Tale etc. Bunge limekuwa kijiwe cha matapeli siku hizi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ubunge unampa kiburi, asingekuwa Mbunge asingeleta taharuki hii.

Kupitia msiba huu wa hawara lazima kashapiga pesa nyingi za wabunge wenzio kwa mgongo wa rambirambi, ili kuhalalisha hili ndio kaamua kutumia nguvu kushiriki kuzika
Dah!!,noma sana Aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…