Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

Only in Tanzania mchepuko anapigania haki apewe msiba wakati Mke halali yupo hai na mbaya zaidi ni mtunga sheria lakini ndiyo wa kwanza kuvunja sheria 🙄
Are you sure?
 
Acha umbeya,
Watu wote waliopo kwenye mazishi washindwe kawapiga hata mawe na fimbo wale wavamizi?

Hata picha za uvamizi umeshindwa kupiga.
 
Acha umbeya,
Watu wote waliopo kwenye mazishi washindwe kawapiga hata mawe na fimbo wale wavamizi?

Hata picha za uvamizi umeshindwa kupiga.
watu wote wakati walio ingia kaburini walikuwa kumi tu? tena matajiri wastaarabu unafikiri na MATAGA wa mbagala?
Arusha kuna ustaarabu achaga ujinga wenu wa uswahilini huko, sawa ?
 
Kanda maalum mkuu
Only in Tanzania mchepuko anapigania haki apewe msiba wakati Mke halali yupo hai na mbaya zaidi ni mtunga sheria lakini ndiyo wa kwanza kuvunja sheria [emoji849]
 
Huyu magige bonge la demu nshawahi kujiliipua DM kwake kuomba namba ka bwai bwai haku reply
Mwanaume halisi na mwenye kisu hahangaiki na kuomba namba dm...yaan automatic utajikuta unapata wepesi tu kupata namba yake!yaan unaletewa tu namb! Masuala ya kuombana namba ni dalili kuu ya ww maisha kuunga unga
 
Ndio life la kuunga unga asee tunajaribu bahati zetu[emoji23][emoji23]
 
Huyo Catherine ni yule mbunge wa viti maalum ambaye anasemekana anapenda sana ngono holela?
Ni yule alikuwa anadaiwa kupigwa miti kwenye gari la mbunge?

Kwa Arusha kuna macharii fulani waliwahi kuzusha kuwa huyo binti tayari ana moto wa kidatu na yuko kwenye dawa, maana kuna jamaa alipita naye halafu akasimulia alikutana na vitu vya ajabu ajabu kule kwenye njia ya kuingia pangoni.
Ooooops![emoji134][emoji134]

Vitu gani hivyo mkuu?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom