Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

usichukue upande wa mtu kisa ana hela.... huyu Cathy alikuwa rafiki yake mjane ndo akaanza kutoka na marehemu na ndio sababu ya divorce, mwanamke ndio alifungua shauri na hata divorce hearing ya wiki iliopota bwana alikataa kutoa divorce akisema anataka watengeneze na mke wake. cathy kamyanyasa mno huyo dada akiwa na mmewe, kamweka ndani na kampeleka polisi mara nyingi sana, kamtukana hata kwa kutumia simu ya mister na ndugu wote wanajua...mnachofanya mtandaoni sasa hivi mnajifurahisha nyie wenyewe kwani arusha nzima inamuelewa huyo mjane na wanajua Cathy ni mchafu mno .....halafu suala lingine..hivi mnajua kilochomuaa marehemu? Marehemu alimfumania Cathy Magige live....ndo kupata pressure na kurudi nyuma kutaka kurudiana na mkewe kabla mauti hayajamkuta...yani mtu kavunja ndoa yako umeishi nae unakuja kugundua umeharaibu familia yako sababu ya mtu ambae sio mwaminifu.Ndo mana familia nzima na ndugu wana hasira na Cathy mnaomtetea huyo bidada inawezekana nao ni wadangaji mama yete tu...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nimejikuta naunganisha dots haraka.

Yote kwa yote kwenye hii hoja, swala la kuzika wote wanaweza kuhusika tu ila inaweza kutokuwa formally kama alivyofanya mheshimiwa Cathy.

Amini usiamini sehemu yoyote ya maziko kama mzee alikuwa mwingi, basi wale michepuko wote huhudhuria tena hujulikana wapo na ndugu wote kutia ndani wasiojulikana. Huwezi zuia watu wasizikane kwa mambo ya sirini. Unakuta ni baba wa mtoto wako. Kisa hutambuliki na hakuna cheti cha ndoa hutaenda kumzika ?

Labda kipengele alichokosea Mheshimiwa ni kwenda kwenye taratibu za kuweka mashada ingawa inaonekana mchungaji aliridhia ili usalama uendelee kuwepo.

Yaani kama husband, baba, kaka, au mjomba ana michepuko au ndoa mbadala, basi jua siku akifa wote watahudhuria. Wengine wanaweza kuwa wanatambulika wengine walikuwa mafichoni ila siku hiyo watatambulika tu hata kwa namna ya kulia kwao. Na ndio maana ya mficha maradhi kifo humuumbua.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
usichukue upande wa mtu kisa ana hela.... huyu Cathy alikuwa rafiki yake mjane ndo akaanza kutoka na marehemu na ndio sababu ya divorce, mwanamke ndio alifungua shauri na hata divorce hearing ya wiki iliopota bwana alikataa kutoa divorce akisema anataka watengeneze na mke wake. cathy kamyanyasa mno huyo dada akiwa na mmewe, kamweka ndani na kampeleka polisi mara nyingi sana, kamtukana hata kwa kutumia simu ya mister na ndugu wote wanajua...mnachofanya mtandaoni sasa hivi mnajifurahisha nyie wenyewe kwani arusha nzima inamuelewa huyo mjane na wanajua Cathy ni mchafu mno .....halafu suala lingine..hivi mnajua kilochomuaa marehemu? Marehemu alimfumania Cathy Magige live....ndo kupata pressure na kurudi nyuma kutaka kurudiana na mkewe kabla mauti hayajamkuta...yani mtu kavunja ndoa yako umeishi nae unakuja kugundua umeharaibu familia yako sababu ya mtu ambae sio mwaminifu.Ndo mana familia nzima na ndugu wana hasira na Cathy mnaomtetea huyo bidada inawezekana nao ni wadangaji mama yete tu...

Bado tatizo liko kwa mwanaume, unavunjaje ndoa yako kizembe hivyo? Sasa yeye alikua anachepuka na Cathy, kwa nini aumie akimkuta Cathy na yeye anachepuka? Yeye mbona alimchepukia mkewe? Anafikiri mkewe hakuumia alivyokua anamchepukia? Tena na aliyekua rafiki yake? Yeye alivyochepukiwa pamemuuma, ila alivyomchepukia mkewe alitaka aone sawa tu [emoji848]. Wanaume msipobadilika mna safari ndefu sana. Kabla hamjawalaumu wanawake kaeni chini mjitathmini. Unamchepukia mkeo, mchepuko ukikuchepukia unaumia [emoji848][emoji848]
 
Eti[emoji849]

Kama ni kweli, basi haya ni maajabu, hivi wanaume wanafikiri wao wakichepuka sisi hatuumii?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mbunge Catherine Magige amekuwa akiishi na kijana Madoda, Ex TRA Staff ambae alikuwa mkulima na pia anamiliki kampuni ya mikopo. Madoda walitengana na mke wake waliezaa watoto watatu kabla ya umauti haujamkuta. Walianza maisha na mkewe na Mungu aliwabariki kufikia walipofikia.

Walitofautiana kwenye mambo ya kimapenzi hivyo walitengana less than two years ago, they were still working on official separation/divorce lakini ilikuwa bado haijatoka. Marehemu Madoda kama mwanamke alikuwa na haki zote za kuwa na girlfriend ambapo bahati ilimuangukia Catherine Magige ambalo ni jambo jema kabisa. Kwa bahati mbaya sana mambo yakiwa hayajakamilika pande zote bwana Madoda umauti ulimkuta ghafla akiwa kwenye mahusiano motomoto na Catherine.

Catherine aliona ana haki zote za ku-host msiba wa Madoda kama Mume wake akiwa any matrimonial bond either ndoa, watoto ama hata nyumba ya kuishi ambayo ni shared. Huku the original wife wana nyumba, watoto, ndoa na biashara.

Hivyo basi automatically msiba umekwenda nyumbani kwa Mke wa Madoda na mwili umelala huko leo ukiagwa na kupumzishwa na Catherine akiwa hana access kabisa ya kuhudhuria, kuaga, kuzika wala kuweka taji. Atabaki analia mwenyewe nyumbani kwake na mashost zake.

FUNZO: Yote yaliyotokea kwa Catherine kuwa na Madoda, kuishi nae haina kosa kabisa kwani alikuwa ametengana na mkewe na akamkuta Catherine yuko mwenyewe hapa hakuna shida yoyote. Kosa la Catherine ni mitandao ambayo alikuwa anaitumia kujimwambafai na mtu ambae bado ana pending issues na mke wake.

Catherine alikuwa ni mtu kurusha kila wanachofanya kwenye instagram kwamba ni Mumeo kumbe bado hajawa official. Pia hukutakiwa kuingilia ugomvi wao na kuanza kumtukana original wife. Wewe bado ni mdogo Mungu atakubariki utapata mume mwingine ila kama atakuwa Divorcee basi kula kimya kimya uache mbwembwe.

Poleni sana sisi tunajiandaa kwenda kumuaga Mume wako Madoda na kwenda kumpumzisha shambani kwake Nduruma.

MWISHO: Madoda kamaliza safari yake hapa duniani hivyo nawe zika mambo yote. Achana na mashost zako ambao watataka kuliendeleza hili swala. Madoda keshakufa hatarudi tena hivyo futa kila kitu.
Siamini kama ufuska ndio sifa kuu ya kuteuliwa viti maalum kwa akina mama, japo habari mzima inaashiria uhuni wa kupitiliza wa mtunga sheria alievunja sheria, ambapo ni CCM wanalalamika kuvunjiwa heshima, polisi wako kimya.
 
Eti[emoji849]

Kama ni kweli, basi haya ni maajabu, hivi wanaume wanafikiri wao wakichepuka sisi hatuumii?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app

Sielewi sasa huwa wanafikiriaje, huyo mwanaume alitakiwa amalizane kwanza na mkewe na wapeane talaka kama kweli alikua hamtaki halafu ndo awe na mwanamke mwingine. Hajamalizana vizuri na mkewe anaenda kuishi na aliyekua rafiki wa mkewe [emoji848] . Kila mtu akichepukiwa anaumia, sema wanaume wanafikirigi mwanamke haumii ila wao ndo wanaumia [emoji23]
 
Mahawara wana vurugu mno, hayo yanasababishwa na upande mmoja kutaka kujulikana zaidi ya ilivokuwa mwanzo wakati wakiwa na marehemu
 
Nafikiri Yule unae mpenda na kumheshimu anapo fariki kuna vitu vya kuzingatia kama kweli tulimpenda na kumheshimu...

Kwanza ni kutowazuia wanao mpenda wengine kuombeleza...

La pili ni kuhakikisha humletei aibu marehem wakati wa mazishi..

La tatu ni kuhakikisha Siri za marehem zinabaki kuwa siri..sio wakati wa kumvua nguo marehem..

Kama hayo yote yatazingatiwa basi sioni
Ni vipi Mke na mchepuko wanaweza anzisha vurugu wakati wa msiba..

Hivi ni ngumu Sana watu mnaochukiana kuzuia chuki zenu Kwa siku mbili mkamzika mnae claim 'mnampenda na kumheshimu'..halafu vurugu zenu zikaja
Kuendelea baada ya mazishi?

Itakuwa wanagombea Mali hamna kingine km ni mapenzi hapana tayar ameshafarik
 
usichukue upande wa mtu kisa ana hela.... huyu Cathy alikuwa rafiki yake mjane ndo akaanza kutoka na marehemu na ndio sababu ya divorce, mwanamke ndio alifungua shauri na hata divorce hearing ya wiki iliopota bwana alikataa kutoa divorce akisema anataka watengeneze na mke wake. cathy kamyanyasa mno huyo dada akiwa na mmewe, kamweka ndani na kampeleka polisi mara nyingi sana, kamtukana hata kwa kutumia simu ya mister na ndugu wote wanajua...mnachofanya mtandaoni sasa hivi mnajifurahisha nyie wenyewe kwani arusha nzima inamuelewa huyo mjane na wanajua Cathy ni mchafu mno .....halafu suala lingine..hivi mnajua kilochomuaa marehemu? Marehemu alimfumania Cathy Magige live....ndo kupata pressure na kurudi nyuma kutaka kurudiana na mkewe kabla mauti hayajamkuta...yani mtu kavunja ndoa yako umeishi nae unakuja kugundua umeharaibu familia yako sababu ya mtu ambae sio mwaminifu.Ndo mana familia nzima na ndugu wana hasira na Cathy mnaomtetea huyo bidada inawezekana nao ni wadangaji mama yete tu...
Duh,very sad[emoji848]
Ila Mungu atamlipia mjane

Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
 
Huyu binti hana tofauti na yule mwanamama aliyeimba 'wanawake na maendeleo'...kazi kuiba waume za watu, maana naye mwanaume aliyemkwiba kashawahi namba...

Sasa lile mama linavyolia utadhani huyo mume ni high school sweetheart, wakati kamkwiba kwa mwanamke mwenzie ambaye sasa anaishi kwa tabu...
Duh!
Kwani marehemu Likwelile mkewe wa awali yu hai? Nilidhani alishakufa ndio akamuoa Vicky?
 
Back
Top Bottom