modavid
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 705
- 628
Hiyo ni hukumu ya jumla unaleta hapa!!watutsi ni watu kama watu wengineWatusi shikamooo,bora niwe na mchaga kulko hao watu ninawajua vizuz kulko wanavyojijua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni hukumu ya jumla unaleta hapa!!watutsi ni watu kama watu wengineWatusi shikamooo,bora niwe na mchaga kulko hao watu ninawajua vizuz kulko wanavyojijua
Jesus Dubai kumekucha
Acha ubaguzi wewe. Waafrika sote ni sawa. Unapojadili issues usiingize ethnicity. Mnamuonea gere tu msichana mwenzenu. We you know nothing kuhusu Tutsi ethnicity. We tz mna tabu sana kila mtu mnamsema si mtz haya basi watz ni wewe na familia yako.Watusi mnaangaika sana.
"Watoto zake" ni moja ya kiashiria kwamba mtoa mada ni Myarwanda.
Naona anatetea Mtusi mwenzake.
Wachagga Siku zote Tupo macho.
Hatuwezi kuacha jambo lipite hivihivi wakati kuna mazingira na kelele za ajabu.
Chagga ni Taifa, ni damu, ni jamii imara.
Semeni sana, ila ukweli utajulikana tu.
Mgonjwa huyo uliyemuona ‘last time’ alikuwa na haja gani ya kutangishwa mara Zanzibar mara Dubai, maharusi yote ya mjini, mahafla??? Busara haikutumika.
Si uende msibani.Ndiyo wewe kwenye hii picha? Nitakupataje dada?
Familia nyingi za kichaga hasa wamachame unakuta mama na watoto tuu wanamiliki mali nyingi alafu r.i.p nyingi zimuendeee dingilai baba la baba.Hakuna utafiti unaoonyesha wachaga huua wame zao, ni dhana potovu tu kama tunayoijadili hapa, kwa wanaume wengi wenye mali maneno husemwa, haijalishi Mgogo, Mkwere , Mchaga au Mdigo, watanzania tunapenda sana hearsay
Mimi pia ni Mzee nazipiga sana hizo showMkuu umenchekesha mno boss vip umezishuhudia nini izo shoo za kufa mtu za wazeee
We jamaa hebu nitafute nikupe zawadi. Umeongea fact. Tuna laana waafrika.Kwa taarifa tu.
waafrika tunabaguana zaidi wenyewe kwa wenyewe kuliko hata tunavyobaguliwa na races nyingine.
Hlf yule mzee jamani mbona inaonekana ht alishaanza kuumwa kitambo ht kuzungumza ilikuwa ishakuwa shida.Wacha porojo wewe tafuta pesa zako nawewe uje uzungumzwe ukifa, unajificha kwenye pesa za kidume mwenzio? oooh tuko imara blah blah sijui jamii tafuta mkwanja wako hayo majungu achia wanawake mbaaf
Mzee hafi kizembe na jamaa wa Msoga kagoma upuuzi huoManeno kama hayo yanayosambaa kama huna moyo wa chuma yanaumiza sana, inatakiwa uwe fedhuli wa roho mbaya kuweza kuyahimili, sijui Dada Jacky yupo kwenye hali gani kwa sasa, Mungu amzidishie kuwatia moyo wafiwa, time will tell
Aika Sana. Wachagga sisi ni taifa teule Kama Israel.Watusi mnaangaika sana.
"Watoto zake" ni moja ya kiashiria kwamba mtoa mada ni Myarwanda.
Naona anatetea Mtusi mwenzake.
Wachagga Siku zote Tupo macho.
Hatuwezi kuacha jambo lipite hivihivi wakati kuna mazingira na kelele za ajabu.
Chagga ni Taifa, ni damu, ni jamii imara.
Semeni sana, ila ukweli utajulikana tu.
Unaingiza uchagga kwenye pesa za dume mwenzio! Oooh taifa kubwa sasa hizo takataka unatoa wapi wewe ? Tafuta zako ya Mengi hayakuhusu wewe fisi hizo ni issue za familia yake tuliza huto tukende
My wish kwa huyu sister is to never see her goin' back in that ol' day lifestyle amtunzie huyu mzee his respect in public hata kama ataolewa na mwingine
other shits belongs to the family and not me.
Nimefatilia comment zako ukabila umekutawala mno. Wew ni nani unatoa hukumu?
Kijana umetumwa? upo moto naona utadhani umenyimwa kisusio
Kauli zako za kibaguzi haujaziona? Kweli nyani haoni ndukule.