Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Huu ni unafki kama ulivyo unafki mwingine tu, aliyeoa hakusimangwa akiwa hai bali asimangwaye ni aliyeolewa muoaji akiwa maiti...
Nani angeweza kumwandika yule Mzee akabaki salama?
Mzee issue zake za dogodogo hazijawahi kuandikwa popote.
Swala la mzee kuwa Freemason halijawahi kuandikwa.
Swala la kuhujumu baadhi ya makampuni ya serikali halijawahi kuandikwa.
Swala la mikopo kadhaa ya NBC na NSSF, vitalu vya madini, ardhi isiyoendelezwa Muhongo aligusia kidogo tu likataka kumwondoa kwenye siasa, mpaka leo hatujui alipo.
Kwa hiyo baada ya yeye kuondoka inabidi hasira zetu za kubanwa kumwandika tuhamishie kwa mke wake.