Pole Jacquiline, walimwengu ndo tulivyo

Pole Jacquiline, walimwengu ndo tulivyo

Huu ni unafki kama ulivyo unafki mwingine tu, aliyeoa hakusimangwa akiwa hai bali asimangwaye ni aliyeolewa muoaji akiwa maiti...

Nani angeweza kumwandika yule Mzee akabaki salama?

Mzee issue zake za dogodogo hazijawahi kuandikwa popote.

Swala la mzee kuwa Freemason halijawahi kuandikwa.

Swala la kuhujumu baadhi ya makampuni ya serikali halijawahi kuandikwa.

Swala la mikopo kadhaa ya NBC na NSSF, vitalu vya madini, ardhi isiyoendelezwa Muhongo aligusia kidogo tu likataka kumwondoa kwenye siasa, mpaka leo hatujui alipo.

Kwa hiyo baada ya yeye kuondoka inabidi hasira zetu za kubanwa kumwandika tuhamishie kwa mke wake.
 
Acha kumuonea wivu yule mwanamke ulitaka mzee Mengi akuoe wew,Nimeshangaa baada ya kusoma comment yako eti Wachaga ni kabila tukufu acha kujivika utakatifu.

Chagga ni kabila Takatifu. Sikalazimishi kuamini. Kama imekuuma mezea, sawa!
 
Ulikuwa nao ndani kujua nani alimtangisha?
Mgonjwa hana maamuzi binafsi?
Ndo kusema kila kitu anaamua Jack?
Hebu tuacheni kujifanya wajuaji wa maisha ya watu.

Mbona povu jingi sana?

Hivi unaweza kumzungusha mzazi wako mzee kwenye daladala kutwa kucha?
 
Acha ubaguzi wewe. Waafrika sote ni sawa. Unapojadili issues usiingize ethnicity. Mnamuonea gere tu msichana mwenzenu. We you know nothing kuhusu Tutsi ethnicity. We tz mna tabu sana kila mtu mnamsema si mtz haya basi watz ni wewe na familia yako.
Mimi ni Mtanzania pure.
Watanzania ninawafahamu. Wasiyo Watanzania ninawafahamu. Mfano wewe siyo Mtanzania. Yaani maandishi tu ni ishara tosha. Watusi ninawaheshimu, ila kuna baadhi yenu dah
 
Labla kwa kutoana kafara kwa kigezo cha Mali.

Kama unafikiri Mali zinakuja kwa kafara, basi na wewe katoa halafu ulete mrejesho. Hakuna Mali inapatikana kwa kuua, hata ukiua na kupora hiyo Mali haidumu. Mali za laana hazidumu. Muda utasema tu. Tungekuwa tunaua tusingesifika kwa kuwa na maisha bora kupita jamii zote.
 
Mimi siko mchaga so siwezi laiti kama ningekuwa hilo kabila pengine ningetolewa kafara siku nyingi hivi Ile damu mnayo kunywa KISUSIO mnaendelea nayo au mmeacha.
 
Mimi siko mchaga so siwezi laiti kama ningekuwa hilo kabila pengine ningetolewa kafara siku nyingi hivi Ile damu mnayo kunywa KISUSIO mnaendelea nayo au mmeacha.

Hahaha, damu ya ng'ombe tamu sana. Unaweza ukanywa iliyochemshwa au ukaacha ikaganda unakaanga unakula kama maini. Kuna lingine inaitwa maini ya shingo. Tunaachaje sasa wakati ni jadi yetu Tukufu?
 
Aikambee unatamani Mengi angekuoa wewe hahaha Mengi alijua wanawake wa kichaga watamuua mapema ndio maana akamuoa jacline. Kama sio Jack Mengi angekufa siku nyingi sana na alishasema mwenyewe
 
Hahaha, damu ya ng'ombe tamu sana. Unaweza ukanywa iliyochemshwa au ukaacha ikaganda unakaanga unakula kama maini. Kuna lingine inaitwa maini ya shingo. Tunaachaje sasa wakati ni jadi yetu Tukufu?
Nimekuuliza swali kwa kukutega vizuri umekuja kule nataka Sasa kama mnakunywa damu ya ng'ombe ya binadamu lazima mnywe yaani huo mkoa inatakiwa muoane wenyewe na kafara zenu za kijinga.
 
Aikambee unatamani Mengi angekuoa wewe hahaha Mengi alijua wanawake wa kichaga watamuua mapema ndio maana akamuoa jacline. Kama sio Jack Mengi angekufa siku nyingi sana na alishasema mwenyewe

Sawa
 
Back
Top Bottom