Pole Mzee Kikwete, hii dharau wanayo hata black Americans kwa waafrika ndugu zao. Hawaangalii hata wa kuwafanyia Uhuni

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Kikwete aliongea akisikitika sana mpaka leo kutopewa picha ambayo alipiga na Rihanna. Miaka mingi baada ya tukio ameamua kutoa yake ya moyoni.

Kiukweli kikwete alijitahidi sana. Alipiga picha na wasanii wengi wakiwemo boys 2 men. Kuna ambao aliweza pata picha zao akaja akapost na kuweka kumbukumbu.

Wengine walifanya uhuni.na mfano ni Rihanna. Mtu umeenda mpaka USA. unaomba kupiga picha na Rihanna mnapigwa picha. Halafu unategemea atakutumia au atapost kwenye page yake insta au facebook. Hapost. ovyo sana.

Waafrika weusi hawa wakiwa kule nao wanajiona kama wazungu. Mbwa sana hawa. Wameonesha dharau kubwa kwa Tanzania. Dawa nasi ni kuwafungia tu milango. Hatuwaogopi.

Nasema hivi. Rihanna tuma picha ya mzee Kikwete please acha ufala. Umemuumiza sana mzee.
 
Rihanna rais wa nchi gani?
 
rais mzima unaomba upige picha ns msanii halafu unabembeleza picha ndio maana walikudharau jpm hana upuuzi wakuomba kupiga picha na mijinga, unafikiri rehana angepiga picha na putin rehana angijipost
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hii nchi ili mradi tu kiki ipatikane
 

Hiyo aibu ya kutopewa picha sisi waTanzania haituhusu. Labda mTanzania wewe.
 
Kwamba Mheshimiwa sana mstaafu wetu analilia picha aliyopiga na huyo mwanamke. Yaani picha kama picha. Au anasingiziwa jamani.
 
Kikwete hakujua rihana ni Chadema au hakulipia ujuavyo wezetu sio burebure tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…