Pole mzee Malecela, amepoteza watoto wanne!

Kiroho hili lina maana kubwa sana. Ingawa kiafrika kulisem itaonekana kama unamnanga mfiwa.

Hapa kuna kitu Mungu anamfundisha mzee Malecela na sitakisema kwenye jukwaa hili.
Kuzika watoto wanne is not a joke.
Sasa si useme ?? Ukificha hapa unaenda kusemea wapi? Sema hapa ili kama kuna makosa tunafanya tuweze kujisahihisha.,
 
Kiroho hili lina maana kubwa sana. Ingawa kiafrika kulisem itaonekana kama unamnanga mfiwa.

Hapa kuna kitu Mungu anamfundisha mzee Malecela na sitakisema kwenye jukwaa hili.
Kuzika watoto wanne is not a joke.
Kuna mzee namjua amezika watoto.wake 11 na mama yao.

Tena wakiwa wakubwa na wafanyakazi wote.

Walikufa mmoja baada ya mmoja na yeye mpaka leo yupo peke yake

Aliwapeleka shule na wengine nilisoma nao.

Aliwasomesha sana wanae ila ndio hivyo tena.

Ni mitihani binadamu tunaonyeshwa.

Ni kawaida
 
OIF.IZbuKpy8ek6Z9mtXRIbb9Q

Inauma!
Mtu akiwa wa umri, anategemea kimaisha watoto kumzika baba au wazazi.
Kwa mzee Samwel Malecela imekuwa kinyume.
Kwa kushuhudia msiba wa mtoto wake wa nne, imesikitisha sana.

Nimehudhuria shughuli za kumuaga Le Mutuz, Le Mbebez, William Samwel Malecela.

RIP Le Mutuz
RIP Le Mutuz
 
Kuna mzee namjua amezika watoto.wake 11 na mama yao.

Tena wakiwa wakubwa na wafanyakazi wote.

Walikufa mmoja baada ya mmoja na yeye mpaka leo yupo peke yake

Aliwapeleka shule na wengine nilisoma nao.

Aliwasomesha sana wanae ila ndio hivyo tena.

Ni mitihani binadamu tunaonyeshwa.

Ni kawaida
Vigumu kulitafsiri.
Lakini kama Ayubu kwenye Biblia, namtakia uzee mwema mzee Malecela.
 
Kiseme tu

Kama ulikuwa unamsoma Le mutuz ni kwamba ndugu zake Kwa kupitia mama Yao walikuwa wanambagua na kuweka mazingira ya yeye asije kurithi chochote Kwa Baba Yao ..
So hao ndugu zake ndo hao karibu watatu wakafa kabla yake ...na kabla ya Baba yao...
Na the fact le mutuz aliwahi zungumzia watu kugombania urithi wa Baba yao huku Baba yao hajafa ...now unaona kilichotokea...ni kuwa kama waliogombania kumrithi Mzee wao..Wengi wao kama sio wote wamekufa wao.....a bit kama uchuro hivi Kwa watoto kugombea urithi wa mtu ambae hajafa ...kama ni kweli hiii ndo ilikuwa fact ... according to marehemu mwenyewe... nilivyoelewa Mimi ..
 
Hakuwa mtoto wa ndoa, babayake alimkataa akiwa mdogo kuficha uzinzi wake kwa mke wake wa ndoa. Pendeni watoto wenu na HAKUNA MTOTO WA NJE USIMFICHE WAAMBIE FAMILIA KWAMBA HUYU NI DAMU YENU. R,I,P WILIAM

Sent from my TECNO B1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom