Pole pole kama wewe umeshiba tuache wengine tule. Usitaki mwagia mchanga kwenye sinia la wali. TUTAONANA WABAYA

Pole pole kama wewe umeshiba tuache wengine tule. Usitaki mwagia mchanga kwenye sinia la wali. TUTAONANA WABAYA

Jipime ndugu yangu. Usidhani hilo jambo lako litaleta mabadiliko. Halitaleta mabadiliko yoyote utadharaulika tu.
Sasa kama unafahamu kuwa jambo lake halitaleta mabadiliko yoyote na atadharaulika tu kwanini unalia Lia kama lofa Fulani? wanamtandao Mmezoea vya kuiba Sasa panueni miguu polepole awapelekee moto
 
Back
Top Bottom