Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 13,667
- 21,296
Katika mawaziri wanaofanya kazi katika mazingira magumu ni Prof. Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu, Sayansi na Technolojia. Eti Wanu, mtoto wa Samia ndiye naibu wako! Wanu ambaye upeo wake wa kufikiri umeishia kumuwaza mumewe Mchengerwa na mama yake Samia!
Hivi Wanu atamsaidia Mkenda katika kipengele kipi katika wizara hiyo?
Elimu? Aah wapi, Wanu ana elimu ya hapa na pale; Sayansi? Mmh labda sayansi kimu; Tekinolojia? Aah labda kutafuta followers tik tok na Instagram!
Wanu ni mtego katika Wizara ya Elimu, Sayansi na Technolojia. Cho chote kitakachofanyika wizarani Samia atapewa live!
Prof. Mkenda chukua tahadhari usije ukajuta, tumekupasha mapemaaa!