cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Huyo mshenga, ilikuaje?? Yaan ni mshenga kwa nani? Na kivipi?
Huyo mshenga, ilikuaje?? Yaan ni mshenga kwa nani? Na kivipi?
😂😂😂😂😂UPE(Ualimu Pasipo Elimu)
Mie nataka kujuzwa na kufahamu pia.Acha ukorofi 😊 😃
😂😂😂😂😂😂Hiyo ni elimu ya kuunga unga! Mara usome QT, mara umerisit! Ghafla unasoma certificate ili upate sifa ya kusoma diploma! Ukitoka hapo unakimbilia Open university, unanunua kadigrii ka uongo na kweli!
Yaani siku ukiambiwa ulete vyeti, unajikuta begi limejaa!
😂😂😂😂😂Kwa nchi kama Tanzania unatakiwa ugeuke shawa moja kwa moja ili ule mema mm ningekuwa ndio waziri wa elimu bwana mkenda sifanyi kitu kila kitu namuuliza kwanza naibu wangu na tena namuita kabisa mwanangu.
Bahati nzuri sera ya elimu ipo katika utekelezaji na imeshakueepo kabla hajawa naibu waziri!
Na uwaziri sio ku solve equations au ku present research Bali kutekeleza yaliyopangwa na sera ya elim!yaani Kuna instrument za utekelezaji sera husika!!
Atashindwaje!!?
Waza logically mkuu!
Kwani huyo waziri, zaidi ya kulalamika lalamikia, ameifanyia nini cha maana hiyo wizaraKatika mawaziri wanaofanya kazi katika mazingira magumu ni Prof. Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu, Sayansi na Technolojia. Eti Wanu, mtoto wa Samia ndiye naibu wako! Wanu ambaye upeo wake wa kufikiri umeishia kumuwaza mumewe Mchengerwa na mama yake Samia!
Hivi Wanu atamsaidia Mkenda katika kipengele kipi katika wizara hiyo?
Elimu? Aah wapi, Wanu ana elimu ya hapa na pale; Sayansi? Mmh labda sayansi kimu; Tekinolojia? Aah labda kutafuta followers tik tok na Instagram!
Wanu ni mtego katika Wizara ya Elimu, Sayansi na Technolojia. Cho chote kitakachofanyika wizarani Samia atapewa live!
Prof. Mkenda chukua tahadhari usije ukajuta, tumekupasha mapemaaa!
Daaah🤣🤣🤣🤣..yani unajifanya huelewi lolote na kwamba miongozo yote unapewa na naibu 🤣🤣Kwa nchi kama Tanzania unatakiwa ugeuke shawa moja kwa moja ili ule mema mm ningekuwa ndio waziri wa elimu bwana mkenda sifanyi kitu kila kitu namuuliza kwanza naibu wangu na tena namuita kabisa mwanangu.
A club of fazafakas and sons of bitches!
Elimu ya hapa na pale ndo ikoje yaani??
Nani kakwambia yupo Kwa ajili Yako?Kwa hiyo anatumikia tumbo lake na si wananchi!
Elimu mbalimbaliElimu ya hapa na pale ndo ikoje yaani??
Samia Hana shida na maridhiano.anawachezea tu akili.
InasikitishaHuyo naibu naskia haendagi ofsini. Sana sana anamtuma dereva wake aende kuegesha gari wizarani asubuhi mpk jioni kila siku.