Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Ya mvua za vuliNdo ipiii hiyo??
Ya mvua za vuliNdo ipiii hiyo??
Kama ya samuya so kamuambukiza mwanaeElimu ya hapa na pale ndo ikoje yaani??
Ikifanyika cabinet reshuffle yoyote, Wanu atakua waziri kamili wa elimu kama alivyokua Makonda. Kawa elevated ndani ya mwezi mmoja.Katika mawaziri wanaofanya kazi katika mazingira magumu ni Prof. Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu, Sayansi na Technolojia. Eti Wanu, mtoto wa Samia ndiye naibu wako! Wanu ambaye upeo wake wa kufikiri umeishia kumuwaza mumewe Mchengerwa na mama yake Samia!
Hivi Wanu atamsaidia Mkenda katika kipengele kipi katika wizara hiyo?
Elimu? Aah wapi, Wanu ana elimu ya hapa na pale; Sayansi? Mmh labda sayansi kimu; Tekinolojia? Aah labda kutafuta followers tik tok na Instagram!
Wanu ni mtego katika Wizara ya Elimu, Sayansi na Technolojia. Cho chote kitakachofanyika wizarani Samia atapewa live!
Prof. Mkenda chukua tahadhari usije ukajuta, tumekupasha mapemaaa!
Hapana, personality inahusika sana kwenye maamuzi wizarani hapo.Bahati nzuri sera ya elimu ipo katika utekelezaji na imeshakueepo kabla hajawa naibu waziri!
Na uwaziri sio ku solve equations au ku present research Bali kutekeleza yaliyopangwa na sera ya elim!yaani Kuna instrument za utekelezaji sera husika!!
Atashindwaje!!?
Waza logically mkuu!
Hujui unchoongeaKatika mawaziri wanaofanya kazi katika mazingira magumu ni Prof. Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu, Sayansi na Technolojia. Eti Wanu, mtoto wa Samia ndiye naibu wako! Wanu ambaye upeo wake wa kufikiri umeishia kumuwaza mumewe Mchengerwa na mama yake Samia!
Hivi Wanu atamsaidia Mkenda katika kipengele kipi katika wizara hiyo?
Elimu? Aah wapi, Wanu ana elimu ya hapa na pale; Sayansi? Mmh labda sayansi kimu; Tekinolojia? Aah labda kutafuta followers tik tok na Instagram!
Wanu ni mtego katika Wizara ya Elimu, Sayansi na Technolojia. Cho chote kitakachofanyika wizarani Samia atapewa live!
Prof. Mkenda chukua tahadhari usije ukajuta, tumekupasha mapemaaa!
Sio kweliHuyo naibu naskia haendagi ofsini. Sana sana anamtuma dereva wake aende kuegesha gari wizarani asubuhi mpk jioni kila siku.
Gpa ya 2.9 mbona kubwa sana.Unafeli la saba, unaenda shule ya kulipia, unafeli form two, unarudia form two. Tia maji, tia maji unaunga mpaka form four, unapata division four ya 26, D na F kibao, unaambulia ka credit kamoja au tuwili, unaenda kutafuta credit ya tatu, ili uende forms six. Unapata ka credit hapo hapo hapo unapiga pepa la form six, unapata division three ya pointi 13. Unaomba vyuo unakosa, au unapata kwa mbinde sana.
Unamaliza chuo unapata ka GPA ka 2.9, unatafutiwa mchongo, unapata kibarua chako kwa nguvu ya wazee.
Gpa ya 2.9 mbona kubwa sana.
Mimi nimeenda Princeton na Gpa ya 2 plain na kule nikapiga 3.8/4.
Sasa hivi napiga mzigo NASA, satellite propulsion laboratory hapa Florida.
Nyie endeleeni ku jishaueni na hayo magpa yenu ya 5.5/5 ya kukariri muone kama itawapeleka popote